Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Ile barabara imeshachoka na pia haifai tena kwa nyakati hizi maana ni nyembamba, Waweke mkeka kama wa uyole-tukuyu-kasumulu... ule mkeka ni balaa sana japo una muda tangu umejengwa...
Ndio umuhimu wa reli
Huyu mchina alikuwa na garage Dodoma. Apumzike kwa amani.Wale wazee wa rally watakuwa wanamjua huyu mchina dah!
Tunakumbushana tu wakati uko na mwendo lolote linaweza tokea
R.i.p Sun
Ova
View attachment 2353342View attachment 2353343View attachment 2353344View attachment 2353345
Rip mchina! View attachment 2355180Huyu mchina alikuwa na garage Dodoma. Apumzike kwa amani.
Dah! Kafa dogo kabisa 😥Rip mchina! View attachment 2355180View attachment 2355181
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Drifting iligoma! Halafu hakuwa amefunga mkanda maeneo ya karibu na Waswanu pub.Dah! Kafa dogo kabisa 😥
Mwendo unaua.
IT ? Kaivuruga kweli kweli BMW, kuna uzima kweli hapo?Jamaa kaambiwa hii ya mzungu na sio ya mjepu so wee mwaga moto tu, kweli jamaa akamwaga myotoo mingi sana... (jokes)View attachment 2355493View attachment 2355494
Hii ni zambia huko mkuu.IT ? Kaivuruga kweli kweli BMW, kuna uzima kweli hapo?
😣😣 Kutoka mtu humu ni kitendawili, na hata kama anatoka ulemavu na kuyumbisha uchumi na kipatoJamaa kaambiwa hii ya mzungu na sio ya mjepu so wee mwaga moto tu, kweli jamaa akamwaga myotoo mingi sana... (jokes)View attachment 2355493View attachment 2355494
Damn, mwanangu kabisa...nilikuwa bonyokwa kwa Gil kumuaga leo hii, nilivyokuwa Dom nilikuwa nae, Demu wake S namuombea utulivu my beautiful young sister [emoji120][emoji120][emoji120]Wale wazee wa rally watakuwa wanamjua huyu mchina dah!
Tunakumbushana tu wakati uko na mwendo lolote linaweza tokea
R.i.p Sun
Ova
View attachment 2353342View attachment 2353343View attachment 2353344View attachment 2353345
SOGEA waliujenga kwa ustadi mkubwa aisee!Ile barabara imeshachoka na pia haifai tena kwa nyakati hizi maana ni nyembamba, Waweke mkeka kama wa uyole-tukuyu-kasumulu... ule mkeka ni balaa sana japo una muda tangu umejengwa...
Ndio hiyo ya daladala lilowaka motoWazee wa Road trip mnaotoka Dar kwenda mkoa, msipite njia ya Kimara kwa asubuhi hii, kuna ajali imefunga barabara Baruti na Bucha
S ni mswahili au mchina? Inasikitisha sanaDamn, mwanangu kabisa...nilikuwa bonyokwa kwa Gil kumuaga leo hii, nilivyokuwa Dom nilikuwa nae, Demu wake S namuombea utulivu my beautiful young sister [emoji120][emoji120][emoji120]
Duh he was not even 30 yetRip mchina! View attachment 2355180View attachment 2355181
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Walisafirisha au walichoma hapa hapa bongoDamn, mwanangu kabisa...nilikuwa bonyokwa kwa Gil kumuaga leo hii, nilivyokuwa Dom nilikuwa nae, Demu wake S namuombea utulivu my beautiful young sister [emoji120][emoji120][emoji120]