Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Kuanzia Madaba utakutana na watu barabarani aidha wamekaa au wanatenbea pembezoni au ndani ya lami.
Ile barabara imeshachoka na pia haifai tena kwa nyakati hizi maana ni nyembamba, Waweke mkeka kama wa uyole-tukuyu-kasumulu... ule mkeka ni balaa sana japo una muda tangu umejengwa...