Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sema fine sini moja tu kwa mujibu wa yule bwana aliyetumbuliwa. Ukipigwa cheti cha 30K unaonesha cheti kila ukipigwa mkono.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini Kuna vyuma namba A vinaita achaa ving'wasuuu, Cheki hio CRUISER hapoView attachment 1664221
1HD-FTE dah hii kitu huwa inanikosha sana.

Landcruiser nyingi hazichakai sababu ya ground clearance yake iko juu. Ukiikuta kwa mtunzaji anayejua gari lazma uikute iko Piruu, haina mikwaruzo wala dents. Its built to last for 25 years without major issues.
 
Watatusumbua sana
 
Ah matraffic huwa wanakera sana aise! Halafu huwa wanasimamisha watu fulani fulani tu wengine hawawasimamishi!

Ndiyo maana wanajeshi huwa wanawaonea sana! Kuna mwanajeshi mmoja aliwaambia live "na nitawasumbua sana nyie"!
Wanatuonea dagaa tu, kambale hawawagusi 😂😂😂
 
Katika makosa ambayo siwezi fanya ni kumkimbia traffic wa Dar!

Barabara ni za kishenzi sana utakimbia dakika 5 tayari ushataitika kwenye foleni. Lazma akuotee tu! Ila mkoani ukipiga cross ya kwanza na ya pili ushampotea. Unakamua kweli kweli
 
Sema fine sini moja tu kwa mujibu wa yule bwana aliyetumbuliwa. Ukipigwa cheti cha 30K unaonesha cheti kila ukipigwa mkono.
Bwana aliyetumbuliwa alisema kama taa haiwaki, tairi kipara, kioo kina ufa, honi haipigi...usiandikiwe makosa 4....vyote hivyo uandikiwe kosa moja kuwa gari ni bovu.....Kuna baadhi ya trafiki waungwana wanafuta hii kauli, wengine wanakomaa ili uache ya kiwi usipewe cheti..

Ila kama una cheti cha kioo cheny ufa, ukizidisha speed unapewa cheti kingine, usipofunga mkanda unapewa cheti kingine....hayo ni makosa matatu tofauti kabisa ambayo hayahusiani..

Sema tu sometimes trafiki wanatubeba, unamuonyesha cheti cha tairi mbovu, anakusamehe kosa la over speed ila ya kiwi lazima uache..
 
Katika makosa ambayo siwezi fanya ni kumkimbia traffic wa Dar!

Barabara ni za kishenzi sana utakimbia dakika 5 tayari ushataitika kwenye foleni. Lazma akuotee tu! Ila mkoani ukipiga cross ya kwanza na ya pili ushampotea. Unakamua kweli kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na foleni za dar ni ndoa ya kikristo wallahi
 
Katika makosa ambayo siwezi fanya ni kumkimbia traffic wa Dar!

Barabara ni za kishenzi sana utakimbia dakika 5 tayari ushataitika kwenye foleni. Lazma akuotee tu! Ila mkoani ukipiga cross ya kwanza na ya pili ushampotea. Unakamua kweli kweli
....Bora tu tutii sheria za barabarani, unawakimbia askari. wanakukamata wanakufanyia hivi...halafu hapo unakuta upo na wakwe zako..[emoji26][emoji26]
 
Katika makosa ambayo siwezi fanya ni kumkimbia traffic wa Dar!

Barabara ni za kishenzi sana utakimbia dakika 5 tayari ushataitika kwenye foleni. Lazma akuotee tu! Ila mkoani ukipiga cross ya kwanza na ya pili ushampotea. Unakamua kweli kweli
Siku hizi ukimkimbia anapanda bodaboda kukufukuzia. Halafu kukimbia traffic police ni issue serious sana. Though sometimes unasimama anazingua
 
Katika makosa ambayo siwezi fanya ni kumkimbia traffic wa Dar!

Barabara ni za kishenzi sana utakimbia dakika 5 tayari ushataitika kwenye foleni. Lazma akuotee tu! Ila mkoani ukipiga cross ya kwanza na ya pili ushampotea. Unakamua kweli kweli
Jana kuna mmoja kaunga na taa nyekundu external pale akapigwa mkono akavuta,

Jamaa akampandia bodaboda nimeenda kuwakuta wamepaki pale Riverside [emoji23][emoji23]
 
Achana na ulengaji wannaa jeuri akipelekewa mteja na dalali hata washindwane bei mteja atarudi tu mwenyewe,
Wale jamaa kama wachawi vile 😀😀. Kuna gari yangu nilikuwa nauza. Kuna dalali mmoja akaniambia usijaribu peleka gari pale. Jamaa ukipeleka gari pale haito kaa ipate mteja hadi uirudishw kwao tena.. na unaweza ukawa unataka uuze labda 15 million, jamaa anakuambia anakupa 5 million..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…