Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sema fine sini moja tu kwa mujibu wa yule bwana aliyetumbuliwa. Ukipigwa cheti cha 30K unaonesha cheti kila ukipigwa mkono.Wakati nakuja Arusha nilikuwa na mdogo angu.
Yeye anapenda amshaamsha.
Nikamwambia hizo 30K tutakazopigwa zikifika 5 tu ni full tank kabisa ya kututoa Dar mpaka Arusha.
Akawa mpole ila njiani hatukukuta trafic. Ndo tukajiachia haswa.
Nadhani wakati wa kurudi ndo ntawakuta wa kutosha.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app