Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
[emoji23][emoji38][emoji16][emoji119] dah inachekesha na kuhuzunisha kwa pamoja huyo dereva alikula pesa ya wese Nini daaah namuonea huruma huyo mjaza mafuta ela yote anakatwa yeye.Aise leo kuna jamaa anaendesha Land cruiser hizi za kubeba watalii...kaja kwenye kituo kajaziwa diesel ya elfu 70, akadai apewe risiti, muuzaji kasogea kwenye kimashine kuchukua risiti, jamaa akajaza moto akaingina high way...hakuonekana tena...Muuzaji anabaki kulalamika na namba ya gari hajashika....Nilishuhudia cruiser imeondolewa kama imeibiwa ....Yaani hakuna mtu alikuwa na wazo kuwa jamaa kaiba mafuta...
Kituo ni Puma Tengeru Arusha..
RRONDOWakuu
Habarini za hapa jamvini
Kitambo sana pilika ni nyingi
Niwatakie jioni njema
Bavaria ISO M.CodD RRONDO National Anthem
Ila mara nyingi risiti inatolewa baada ya kutoa hela.Aise leo kuna jamaa anaendesha Land cruiser hizi za kubeba watalii...kaja kwenye kituo kajaziwa diesel ya elfu 70, akadai apewe risiti, muuzaji kasogea kwenye kimashine kuchukua risiti, jamaa akajaza moto akaingina high way...hakuonekana tena...Muuzaji anabaki kulalamika na namba ya gari hajashika....Nilishuhudia cruiser imeondolewa kama imeibiwa ....Yaani hakuna mtu alikuwa na wazo kuwa jamaa kaiba mafuta...
Kituo ni Puma Tengeru Arusha..
Hiyo Petrol Station itakua haina CCTV coverage? Ama hizo wanaziweka ofisini tu kwenye safeAise leo kuna jamaa anaendesha Land cruiser hizi za kubeba watalii...kaja kwenye kituo kajaziwa diesel ya elfu 70, akadai apewe risiti, muuzaji kasogea kwenye kimashine kuchukua risiti, jamaa akajaza moto akaingina high way...hakuonekana tena...Muuzaji anabaki kulalamika na namba ya gari hajashika....Nilishuhudia cruiser imeondolewa kama imeibiwa ....Yaani hakuna mtu alikuwa na wazo kuwa jamaa kaiba mafuta...
Kituo ni Puma Tengeru Arusha..
Haina tofauti sana na kumaliza chuo kisha kukaa mtaani bila ajiraWakuu wazoefu kuna impact gani mtu akijifunza kuendesha gari halafu akakaa muda bila kuendesha gari. Nataka nijifunze lakini sina ndinga kwa sasa.
Vaa kaunda suit halafu changamkia maafandeWakuu naombeni code za kutosumbuliwa na askari barabarani ukiwa na ndinga kubwa ya heshima
Huyu akipotea hatokei mpaka aitwe na pisi. Zikimmiss ataitika.
Tupo mkuu, mapambano yanaendeleaWakuu
Habarini za hapa jamvini
Kitambo sana pilika ni nyingi
Niwatakie jioni njema
Bavaria ISO M.CodD RRONDO National Anthem
Hii ishu ishaondoka na mshkaji wng maana alifukuzia akapata ajali ndio ikawa niagieni[emoji25]Ila mara nyingi risiti inatolewa baada ya kutoa hela.
Otherwise, Angechukua boda ya karibu kumfukuzia huku akiwasiliana na supervisor wake.
Huku nyuma wawasiliane na polisi wamfuate mwenzao waifukuzie gari.
Au wasamehe hela iwe imeenda.
😀😀😀Huyu akipotea hatokei mpaka aitwe na pisi. Zikimmiss ataitika.
@PRONDO?,naye pia ni wa pisi kali, ninajitolea kumletea kutoka huku lingusenguseHuyu akipotea hatokei mpaka aitwe na pisi. Zikimmiss ataitika.
Shukran mkuu[emoji28]Vaa kaunda suit halafu changamkia maafande
Wacha tu mkuu . Niliwaacha hapo wanatoleana macho na misonyo kuwa elfu 70 imeenda hivi hivi..[emoji23][emoji38][emoji16][emoji119] dah inachekesha na kuhuzunisha kwa pamoja huyo dereva alikula pesa ya wese Nini daaah namuonea huruma huyo mjaza mafuta ela yote anakatwa yeye.
Pale mkuu kulikuwa hamna namna...nilikuwepo jamaa sijui alipigwa upofu gani akafuata risiti , dereva akajaza moto...Ila mara nyingi risiti inatolewa baada ya kutoa hela.
Otherwise, Angechukua boda ya karibu kumfukuzia huku akiwasiliana na supervisor wake.
Huku nyuma wawasiliane na polisi wamfuate mwenzao waifukuzie gari.
Au wasamehe hela iwe imeenda.
Kuna mbili huwa naziona..ila angle ziliyofungwa haziwezi kusoma namba ya ile gari...Hiyo Petrol Station itakua haina CCTV coverage? Ama hizo wanaziweka ofisini tu kwenye safe
Poor them, pole yao. A major loss kwa pump attendant aisee. Ila Elfu 70 anawekaje before kucash in? Next time ni heri wakati mzigo unaendelea kupanda asogee zake dirishani kudaka chake kabisaKuna mbili huwa naziona..ila angle ziliyofungwa haziwezi kusoma namba ya ile gari...
Ahaaaaa mkuu hii kitu inatokea kwa kila mtu, kawaida unajaziwa mafuta kwanza then unalipa not other way around, huyu petrol attendant anahitaji kusaidiwa ili aweze kulipa hilo deni,na shame kwa motorist aliyemwibia mlala hoiPoor them, pole yao. A major loss kwa pump attendant aisee. Ila Elfu 70 anawekaje before kucash in? Next time ni heri wakati mzigo unaendelea kupanda asogee zake dirishani kudaka chake kabisa
Mkuu si ungemchangia huyu attendant 20k ili aweze kulipa deni?Wacha tu mkuu . Niliwaacha hapo wanatoleana macho na misonyo kuwa elfu 70 imeenda hivi hivi..