Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aise leo kuna jamaa anaendesha Land cruiser hizi za kubeba watalii...kaja kwenye kituo kajaziwa diesel ya elfu 70, akadai apewe risiti, muuzaji kasogea kwenye kimashine kuchukua risiti, jamaa akajaza moto akaingina high way...hakuonekana tena...Muuzaji anabaki kulalamika na namba ya gari hajashika....Nilishuhudia cruiser imeondolewa kama imeibiwa ....Yaani hakuna mtu alikuwa na wazo kuwa jamaa kaiba mafuta...
Kituo ni Puma Tengeru Arusha..
 
[emoji23][emoji38][emoji16][emoji119] dah inachekesha na kuhuzunisha kwa pamoja huyo dereva alikula pesa ya wese Nini daaah namuonea huruma huyo mjaza mafuta ela yote anakatwa yeye.
 
Aise leo kuna jamaa anaendesha Land cruiser hizi za kubeba watalii...kaja kwenye kituo kajaziwa diesel ya elfu 70, akadai apewe risiti, muuzaji kasogea kwenye kimashine kuchukua risiti, jamaa akajaza moto akaingina high way...hakuonekana tena...Muuzaji anabaki kulalamika na namba ya gari hajashika....Nilishuhudia cruiser imeondolewa kama imeibiwa ....Yaani hakuna mtu alikuwa na wazo kuwa jamaa kaiba mafuta...
Kituo ni Puma Tengeru Arusha..
Ila mara nyingi risiti inatolewa baada ya kutoa hela.

Otherwise, Angechukua boda ya karibu kumfukuzia huku akiwasiliana na supervisor wake.

Huku nyuma wawasiliane na polisi wamfuate mwenzao waifukuzie gari.

Au wasamehe hela iwe imeenda.
 
Hiyo Petrol Station itakua haina CCTV coverage? Ama hizo wanaziweka ofisini tu kwenye safe
 
Ila mara nyingi risiti inatolewa baada ya kutoa hela.

Otherwise, Angechukua boda ya karibu kumfukuzia huku akiwasiliana na supervisor wake.

Huku nyuma wawasiliane na polisi wamfuate mwenzao waifukuzie gari.

Au wasamehe hela iwe imeenda.
Hii ishu ishaondoka na mshkaji wng maana alifukuzia akapata ajali ndio ikawa niagieni[emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mara nyingi risiti inatolewa baada ya kutoa hela.

Otherwise, Angechukua boda ya karibu kumfukuzia huku akiwasiliana na supervisor wake.

Huku nyuma wawasiliane na polisi wamfuate mwenzao waifukuzie gari.

Au wasamehe hela iwe imeenda.
Pale mkuu kulikuwa hamna namna...nilikuwepo jamaa sijui alipigwa upofu gani akafuata risiti , dereva akajaza moto...

Najua jana kuna demu umelishwa elfu 70 haramu..boy wako kakimbia deni sheli..[emoji23]
 
Kuna mbili huwa naziona..ila angle ziliyofungwa haziwezi kusoma namba ya ile gari...
Poor them, pole yao. A major loss kwa pump attendant aisee. Ila Elfu 70 anawekaje before kucash in? Next time ni heri wakati mzigo unaendelea kupanda asogee zake dirishani kudaka chake kabisa
 
Ahaaaaa mkuu hii kitu inatokea kwa kila mtu, kawaida unajaziwa mafuta kwanza then unalipa not other way around, huyu petrol attendant anahitaji kusaidiwa ili aweze kulipa hilo deni,na shame kwa motorist aliyemwibia mlala hoi
 
Back
Top Bottom