Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Aise leo kuna jamaa anaendesha Land cruiser hizi za kubeba watalii...kaja kwenye kituo kajaziwa diesel ya elfu 70, akadai apewe risiti, muuzaji kasogea kwenye kimashine kuchukua risiti, jamaa akajaza moto akaingina high way...hakuonekana tena...Muuzaji anabaki kulalamika na namba ya gari hajashika....Nilishuhudia cruiser imeondolewa kama imeibiwa ....Yaani hakuna mtu alikuwa na wazo kuwa jamaa kaiba mafuta...
Kituo ni Puma Tengeru Arusha..
Kituo ni Puma Tengeru Arusha..