Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ukisikia adventurous road trip ndio hiyo sasa. ukirudi mjini unarudi na experience ya kutosha.....ni kama umetoka depo kupata mafunzo ya kimedani.
 
Kama zamani ilikuwa leseni haikuwa lazima saaan na ukiwa nayo basi una gari ila sasaiv leseni ni kama lazima ivi hata kama huna gari lolote linatokea hasa Kwa wanaume.

Mwanaume mpambanaji kitu kama leseni ya kuendeshea hutakiwi kukosa tena madaraja muhimu ikiwepo na E , Passport ya kusafiria unatakiwa ukate ya kitabu iwe kabisa ndani ikiisha hujasafiri karenew upya maana mwanaume kuna lolote, mchongo unakuja ndio unaanza kutoa macho wakati ulikua na muda wa kutafuta ukiwa umerelax,
 
Mmmh yaaah saiv mambo yamechangema madeala kibao
 
Wewe ni wa Bagamoyo ~ Msata ~ Wami zaidi ama Mkuranga ~ Rufiji ~ Somanga ~ Lindi??

Kwa sie night riders mist of the times, pazuri kunyoosha mgongo before kuendelea na safari baada ya hizo 180+Kms drive
Hizo mbili za juu kaskaz n kusini nimezitembea sana miaka ya nyuma. Mwaka huu nimekuwa mtu wa kukaa sehemu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…