Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Chuma isio zeeka hio mkuuPrado sx mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuma isio zeeka hio mkuuPrado sx mkuu
Kwanini umepiga picha gari yangu?Leo ikapita vxr🥹 jamani View attachment 2414245View attachment 2414246
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Ahaaa Ile dream car Yako mkuuKwanini umepiga picha gari yangu?
Gari za CCM ba serikali hizo.Tatizo la haya yanakuwaga yeboyebo. Soon yatakuwa mengi. Ingekuwa Nissan Patrol ingekuwa habari nyingine.
Mitaa gani hii mkuu, kama Ulongoni hivi
Chuma isio zeeka hio mkuu
Nasubiria mwaka 2088 niagize hiyo Lc 300 ikiwa used[emoji28]Ahaaa Ile dream car Yako mkuu
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji119] 2030 tu hapo hazitakua na thamank Tena si gari za umeme zitakukuwepo road.Nasubiria mwaka 2088 niagize hiyo Lc 300 ikiwa used[emoji28]
Du huyo mwenye patrol au muogaNimeshangaa Nissan patrol lime kwama kizembe kweli. Hiyu babu kizee kapita
Yeah Gari za umeme na gesi zitakua kibao,hapo na sisi ndo tunavuta sasa dream cars zetu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji119] 2030 tu hapo hazitakua na thamank Tena si gari za umeme zitakukuwepo road.
ukisikia adventurous road trip ndio hiyo sasa. ukirudi mjini unarudi na experience ya kutosha.....ni kama umetoka depo kupata mafunzo ya kimedani.Tusomane wadau. Nipo Kondoa kijiji kinaitwa serya natoboa mpaka mongoroma, waama, Dirma mpaka katesh kwa watoto wa zuri.
Barabara huku ni hatarishi mnooo. Hapo kutoka kondoa kwenda Serya ni 13km tuna tumia dakika 45 mpaka lisaa, Kuna mto bubuuu hapo kati hakuna daraja na hakuna maji kwa sasa lakini magari yana nasa hapo kwenye mchanga balaa. Mungu tu . Wenyeji wanasema unaitwa mto bubu sababu maji yake hua hayana kelele yana kuja kimya kimyaaa. Ni shotcut ya kutoka Handeni kwenda kilindi then kiteto mpaka kondoa then katesh mpaka Singida. View attachment 2414216
Kama zamani ilikuwa leseni haikuwa lazima saaan na ukiwa nayo basi una gari ila sasaiv leseni ni kama lazima ivi hata kama huna gari lolote linatokea hasa Kwa wanaume.
Mmmh yaaah saiv mambo yamechangema madeala kibaoMwanaume mpambanaji kitu kama leseni ya kuendeshea hutakiwi kukosa tena madaraja muhimu ikiwepo na E , Passport ya kusafiria unatakiwa ukate ya kitabu iwe kabisa ndani ikiisha hujasafiri karenew upya maana mwanaume kuna lolote, mchongo unakuja ndio unaanza kutoa macho wakati ulikua na muda wa kutafuta ukiwa umerelax,
Kijiweni kwetu Cate, wana kahawa flani amazing sana
Sijawahi simama hapa kabla, ila pia njia hii sio mpitaji sana.Kijiweni kwetu Cate, wana kahawa flani amazing sana
Wewe ni wa Bagamoyo ~ Msata ~ Wami zaidi ama Mkuranga ~ Rufiji ~ Somanga ~ Lindi??Sijawahi simama hapa kabla, ila pia njia hii sio mpitaji sana.
Hizo mbili za juu kaskaz n kusini nimezitembea sana miaka ya nyuma. Mwaka huu nimekuwa mtu wa kukaa sehemu moja.Wewe ni wa Bagamoyo ~ Msata ~ Wami zaidi ama Mkuranga ~ Rufiji ~ Somanga ~ Lindi??
Kwa sie night riders mist of the times, pazuri kunyoosha mgongo before kuendelea na safari baada ya hizo 180+Kms drive