Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tusomane wadau. Nipo Kondoa kijiji kinaitwa serya natoboa mpaka mongoroma, waama, Dirma mpaka katesh kwa watoto wa zuri.
Barabara huku ni hatarishi mnooo. Hapo kutoka kondoa kwenda Serya ni 13km tuna tumia dakika 45 mpaka lisaa, Kuna mto bubuuu hapo kati hakuna daraja na hakuna maji kwa sasa lakini magari yana nasa hapo kwenye mchanga balaa. Mungu tu . Wenyeji wanasema unaitwa mto bubu sababu maji yake hua hayana kelele yana kuja kimya kimyaaa. Ni shotcut ya kutoka Handeni kwenda kilindi then kiteto mpaka kondoa then katesh mpaka Singida. View attachment 2414216
ukisikia adventurous road trip ndio hiyo sasa. ukirudi mjini unarudi na experience ya kutosha.....ni kama umetoka depo kupata mafunzo ya kimedani.
 
Kama zamani ilikuwa leseni haikuwa lazima saaan na ukiwa nayo basi una gari ila sasaiv leseni ni kama lazima ivi hata kama huna gari lolote linatokea hasa Kwa wanaume.

Mwanaume mpambanaji kitu kama leseni ya kuendeshea hutakiwi kukosa tena madaraja muhimu ikiwepo na E , Passport ya kusafiria unatakiwa ukate ya kitabu iwe kabisa ndani ikiisha hujasafiri karenew upya maana mwanaume kuna lolote, mchongo unakuja ndio unaanza kutoa macho wakati ulikua na muda wa kutafuta ukiwa umerelax,
 
Mmmh yaaah saiv mambo yamechangema madeala kibao
 
IMG_20221113_072338.jpg
IMG_20221112_101711.jpg
 
Wewe ni wa Bagamoyo ~ Msata ~ Wami zaidi ama Mkuranga ~ Rufiji ~ Somanga ~ Lindi??

Kwa sie night riders mist of the times, pazuri kunyoosha mgongo before kuendelea na safari baada ya hizo 180+Kms drive
Hizo mbili za juu kaskaz n kusini nimezitembea sana miaka ya nyuma. Mwaka huu nimekuwa mtu wa kukaa sehemu moja.
 
Back
Top Bottom