Usidanganyike 😂😂😂 gari ya kawaida wakati ina V8 hio kifuani. Mashine ya kwenda hio gas guzzler.Usd 80,000= 170,000,000+ 90,000,000 (kuitoa bandari plus ushuru.)
Ni gari yakawaida sema ina mvuto.
Kama amenunu 0 mileage wewe mwenye Crown unaweza kuwa unatumia hela nyingi kwenye services ya gari kuliko yeye.
Crown tu zinatutoa jasho la ugoko itakua Caddy mzee, anayeiweza Crown hata benz ataiweza no doubt.Nimesoma hapo kwamba gari hio inatumia hela kidogo ku-service kuliko Crown. Nikajiuliza crown hizi hizi yebo yebo au nyingine?
Crown tu zinatutoa jasho la ugoko itakua Caddy mzee, anayeiweza Crown hata benz ataiweza no doubt.
Crown tu zinatutoa jasho la ugoko itakua Caddy mzee, anayeiweza Crown hata benz ataiweza no doubt.
Ngoja niwape picha kidogoTrue say mercides C-200 compressor
is not that expensive in maintenance
Wenge[emoji23][emoji23]Mkuu, hujui logo ya Cadillac?
Oil filter + Air filter za crown hazifiki hyo beiNgoja niwape picha kidogo
Oil filter ya hio Benz average 30,000
Air filter average 50,000
Hii ikifa ball joint unanunuq complete arm na Kuna arms nne mbele inaweza kukutoka 800k-1m
Shocks za mbele average kama 500,000
Tutaje bei za Crown?
Au mnazungumzia fuel consumption?
Ukiona unalala juu ya mafuta ya hiyo gari basi tambua huna uwezo wa kulimiliki.Usidanganyike [emoji23][emoji23][emoji23] gari ya kawaida wakati ina V8 hio kifuani. Mashine ya kwenda hio gas guzzler.
Pale toyota bei za hizo shocks za crown hazishikiki mkuu, ndo maana raia wanunua za China tu... ila ukifuata pale toyota inaweza kuwa zaidi ya hiyo laki 5.Ngoja niwape picha kidogo
Oil filter ya hio Benz average 30,000
Air filter average 50,000
Hii ikifa ball joint unanunuq complete arm na Kuna arms nne mbele inaweza kukutoka 800k-1m
Shocks za mbele average kama 500,000
Tutaje bei za Crown?
Au mnazungumzia fuel consumption?
Mkuu hiv Discovery 2 maintenance vipi? Eg. spea, mafuta, mafundi?Crown tu zinatutoa jasho la ugoko itakua Caddy mzee, anayeiweza Crown hata benz ataiweza no doubt.
Mkuu kama kwako gari ya $80,000 (Tzs 200m),ushuru 90m(per wewe) kama ni ya kawaida hongera sana.Ukiona unalala juu ya mafuta ya hiyo gari basi tambua huna uwezo wa kulimiliki.
Point hapo juu ilikuwa hiyo gari ni bei ya kawaida na sio gharama ya kutisha kama mleta picha na baadhi ya watu wanavyoiona.
Mtu kununua hiyo gari ni kwamba anauwezo wa kuweka mafuta.
Hata hio Benz nilizoweka sio za Dealer wa Benz. Ni wangapi humu wana Toyota spare wananunua Toyota kwenyewe? Kama watu wangekuwa wananunua spare Toyota usingesikia kelele kuwa gari za Mjerumani ni gharama kuishi nazo.Pale toyota bei za hizo shocks za crown hazishikiki mkuu, ndo maana raia wanunua za China tu... ila ukifuata pale toyota inaweza kuwa zaidi ya hiyo laki 5.
No billahi😂 mzee nachangamsha kijiwe.You are joking right?