Bora alikubali yaishe, wanakuwaga na mambo za ajabu sana wale jamaaJuzi kati nakatiza pale mbezi shule(bagamoyo road)kuna kale ka traffic kifupi chenye machejo kakanipiga mkono,kuweka gari pembeni akakuta kila kitu kipo sawa ikabidi azushe kuwa sikupunguza mwendo kwenye zebra,nikasikitika mpaka akajishtukia ikabidi ale la kumi kuepusha mambo yasiwe mengi
Trick akikusimamisha ni unapunguza mwendo alafu unawasha indicator as if unataka kupark kupaki kwa mbele,kifuatacho atahadithia 🙂🙂🙂Bora alikubali yaishe, wanakuwaga na mambo za ajabu sana wale jamaa
hahahah labda iwe night kaliTrick akikusimamisha ni unapunguza mwendo alafu unawasha indicator as if unataka kupark kupaki kwa mbele,kifuatacho atahadithia 🙂🙂🙂
Ukiwa highway hawawezi kuhangaika na wewe.hahahah labda iwe night kali
Halafu wa highway sio wakali😂 washenzi wapo Arusha na Dar es salaamUkiwa highway hawawezi kuhangaika na wewe.
Hawezi kukukimbiza wewe asijue unaenda wapi wakati kuna vichwa vingi tu vitakuja.
Mara nyingi huwa nawafanyia ila kuanzia njia panda ya himo mpaka bagamoyo.
Hapo kati wakinisimamisha imekula kwao.
Kwanini uwakimbie?Ukiwa highway hawawezi kuhangaika na wewe.
Hawezi kukukimbiza wewe asijue unaenda wapi wakati kuna vichwa vingi tu vitakuja.
Mara nyingi huwa nawafanyia ila kuanzia njia panda ya himo mpaka bagamoyo.
Hapo kati wakinisimamisha imekula kwao.
Kumbe unawajua wale madalali pale mlimani chini ya miti tunakoelekea watapiga pesa ndefuLazima, sahivi IST itakuwa ukiuziwa kwa bei rafiki ni 10M kwa wale jamaa waliopo chini ya miti mitaa ya 5N Mlimani
Dah...unaposema torque...una maananisha nini Mkuu? Nauliza tu....Hizo ni noma ila torque ni ndogo kuliko diesel versions.
Kuna pahala niliandika askari wa Arusha wanoko na wakali kuna mtu akawa kama anataka kukataa..Halafu wa highway sio wakali[emoji23] washenzi wapo Arusha na Dar es salaam
Wenye pesa zetu tumetulia kimya.......[emoji16]Kuna watu wenye pesa na Kuna watu wenye mshahara
Sisi wenye mishahara wacha tupambane na hali zetu..[emoji12][emoji23][emoji23]Wenye pesa zetu tumetulia kimya.......[emoji16]
Hasa pale Usa River..Halafu wa highway sio wakali[emoji23] washenzi wapo Arusha na Dar es salaam
Tatizo ushuru mkuu! Hata kasi ya Dualis kuagizwa utaanza kuona ikipungua-Dualis inaanza kupambana bei na Harrier new model unategemea nn? Suzuki ni gari nzuri mkuu tatizo bei.Road trip yangu ya daily kwa kutumia usafiri wangu TZ11 na baada ya kuanza zoezi la kuangalia plate number za magari nimeobserve kua kila Suzuki ninayokutana nayo ni B, Pajero moja A, corona na tax nyingi ni B na C, ina maana Suzuki zina shida gani haziingizwi tena Tanzania? Siku nikitaka kununua gari nitawaomba ushauri 😀 😀 😀 😀
Ilipokuwa zamani Catalunya pale.. yale yote maeneo yao ya kujimwambafaiKushoto ukiwa unatoka wapi?
Dar ina magari mengi sana.Halafu wa highway sio wakali[emoji23] washenzi wapo Arusha na Dar es salaam
Unajisahau kwenye vibao vya 50.Kwanini uwakimbie?
Ukipita mwaka huu itabidi uongeze tena m4 ingine maana watapandisha tena. Ila dawa ni kubadili tu unanunua zile ambazo hawakupandisha ushuru.Mimi nilipanga kununua mwaka huu but kwa hali ninavyoiona nitanunua baadae sana mwaka huu au mwishoni mwa mwaka, maana inabidi kuongeza kama 4m hivi
Kama unaendesha asubuhi (saa 12-saa tatu) na jioni 9(saa 11-hadi giza) ni nadra sana kusimamishwa. Ila mida ya kuanzia saa nne asubuhi mpaka tisa jioni kusimamishwa rahisi sana hasa hasa kama unatumia njia ambazo huwa wanaweka mitego mfano kawe darajani,round about bandari road na kilwa road etcDar ina magari mengi sana.
Kusimamishwa na polisi lazima either unaendesha kimeo sana au umevunja sheria mbele yake.
Mi naweza kaa hata miaka mitatu sijasimamishwa na polisi dar.
Mara ya mwisho kusimamishwa na polisi dar ni mwaka 2018 nilipita mwendokasi na yeye akawa mbele yangu.
Zaidi ya hapo sijasimamishwa tena.
Hata huku Arusha bado sijasimamishwa.
Polisi wa highway hana muda wa kupigizana kelele na wewe. Either cheti au umpe hela ya kubwashia viatu.
Wa mjini lazima awe mkali wasababu ana muda mpaka wa kufanya ukaguzi.
Unaendesha gari gani? Sababu sio kila gari inapigwa mkono huku mjini.Dar ina magari mengi sana.
Kusimamishwa na polisi lazima either unaendesha kimeo sana au umevunja sheria mbele yake.
Mi naweza kaa hata miaka mitatu sijasimamishwa na polisi dar.
Mara ya mwisho kusimamishwa na polisi dar ni mwaka 2018 nilipita mwendokasi na yeye akawa mbele yangu.
Zaidi ya hapo sijasimamishwa tena.
Hata huku Arusha bado sijasimamishwa.
Polisi wa highway hana muda wa kupigizana kelele na wewe. Either cheti au umpe hela ya kubwashia viatu.
Wa mjini lazima awe mkali wasababu ana muda mpaka wa kufanya ukaguzi.
Nimeishi Moshi ila sikuwahi kuthubutu kwenda na gari Arusha. Niliishiaga Kia tu.Hasa pale Usa River..
wanoko balaa