Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Juzi kati nakatiza pale mbezi shule(bagamoyo road)kuna kale ka traffic kifupi chenye machejo kakanipiga mkono,kuweka gari pembeni akakuta kila kitu kipo sawa ikabidi azushe kuwa sikupunguza mwendo kwenye zebra,nikasikitika mpaka akajishtukia ikabidi ale la kumi kuepusha mambo yasiwe mengi
Bora alikubali yaishe, wanakuwaga na mambo za ajabu sana wale jamaa
 
Ukiwa highway hawawezi kuhangaika na wewe.

Hawezi kukukimbiza wewe asijue unaenda wapi wakati kuna vichwa vingi tu vitakuja.

Mara nyingi huwa nawafanyia ila kuanzia njia panda ya himo mpaka bagamoyo.

Hapo kati wakinisimamisha imekula kwao.
Halafu wa highway sio wakali😂 washenzi wapo Arusha na Dar es salaam
 
Road trip yangu ya daily kwa kutumia usafiri wangu TZ11 na baada ya kuanza zoezi la kuangalia plate number za magari nimeobserve kua kila Suzuki ninayokutana nayo ni B, Pajero moja A, corona na tax nyingi ni B na C, ina maana Suzuki zina shida gani haziingizwi tena Tanzania? Siku nikitaka kununua gari nitawaomba ushauri 😀 😀 😀 😀
Tatizo ushuru mkuu! Hata kasi ya Dualis kuagizwa utaanza kuona ikipungua-Dualis inaanza kupambana bei na Harrier new model unategemea nn? Suzuki ni gari nzuri mkuu tatizo bei.
 
Halafu wa highway sio wakali[emoji23] washenzi wapo Arusha na Dar es salaam
Dar ina magari mengi sana.

Kusimamishwa na polisi lazima either unaendesha kimeo sana au umevunja sheria mbele yake.

Mi naweza kaa hata miaka mitatu sijasimamishwa na polisi dar.

Mara ya mwisho kusimamishwa na polisi dar ni mwaka 2018 nilipita mwendokasi na yeye akawa mbele yangu.

Zaidi ya hapo sijasimamishwa tena.

Hata huku Arusha bado sijasimamishwa.

Polisi wa highway hana muda wa kupigizana kelele na wewe. Either cheti au umpe hela ya kubwashia viatu.

Wa mjini lazima awe mkali wasababu ana muda mpaka wa kufanya ukaguzi.
 
Kama unaendesha asubuhi (saa 12-saa tatu) na jioni 9(saa 11-hadi giza) ni nadra sana kusimamishwa. Ila mida ya kuanzia saa nne asubuhi mpaka tisa jioni kusimamishwa rahisi sana hasa hasa kama unatumia njia ambazo huwa wanaweka mitego mfano kawe darajani,round about bandari road na kilwa road etc
 
Dar ina magari mengi sana.

Kusimamishwa na polisi lazima either unaendesha kimeo sana au umevunja sheria mbele yake.

Mi naweza kaa hata miaka mitatu sijasimamishwa na polisi dar.

Mara ya mwisho kusimamishwa na polisi dar ni mwaka 2018 nilipita mwendokasi na yeye akawa mbele yangu.

Zaidi ya hapo sijasimamishwa tena.

Hata huku Arusha bado sijasimamishwa.

Polisi wa highway hana muda wa kupigizana kelele na wewe. Either cheti au umpe hela ya kubwashia viatu.

Wa mjini lazima awe mkali wasababu ana muda mpaka wa kufanya ukaguzi.
Unaendesha gari gani? Sababu sio kila gari inapigwa mkono huku mjini.
Vanguard, Prado, Vx V8 na gari za jamii hio ukipigwa mkono basi nenda baharini ukaoge.

Ila sie wa daraja la IST,Premio, Mark 2, Subaru, Verossa na gari zote za jamii hii mkono ni kama kwenda msalani. Unapigwa leo kesho upigwi keshokutwa unakamatwa tena.
 
Back
Top Bottom