Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bora alikubali yaishe, wanakuwaga na mambo za ajabu sana wale jamaaJuzi kati nakatiza pale mbezi shule(bagamoyo road)kuna kale ka traffic kifupi chenye machejo kakanipiga mkono,kuweka gari pembeni akakuta kila kitu kipo sawa ikabidi azushe kuwa sikupunguza mwendo kwenye zebra,nikasikitika mpaka akajishtukia ikabidi ale la kumi kuepusha mambo yasiwe mengi