Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wote watakaokuwa na road trips, drive safe and don’t drink and drive. Taifa bado linawahitaji. Fanya ligi barabarani kwa uangalifu.

Mwaka huu nitakosa road trip ya mwisho wa mwaka. Inshallah, mwakani nitakuwepo barabarani. Na gari nimelipa stage 1 tune! Kifua kimeongezeka!

All the best; and Merry Christmas and Happy New Year in advance.
 
Nadhani pale Ruvu Darajani ndio point ya mwisho ya kuwindana, zamani ilikua ukiimaliza Mlandizi tu tayari upo salama. Ila kwa sasa baada ya Ruvu huko mbele kiatu tuuu, ukishaivuka Chalinze ndio kabisaaa waleteee wewe unadili na taa za wanaokuja na vicheche tu. Barrier moja tu pale maeneo ya Mwidu nadhani ambao peace [emoji3577] tu wao, from there kiatu.
 
Halafu wale wapi? Hela ya mchezo ya kila siku watapata kwa uelimishaji?
 
Usijaribu kukimbia mkuu.
Mimi nimekimbia once nilikuwa nimeunga msafara wa V8 kama 3, walinipiga mkono sikusimama.

Ila sina ujasiri wa kukimbia nikisimamishwa na askari, consequences zake zinaweza kuwa severe na wanapenda sana show za namna hio maana zinawapa some excitement from their monotonous work.
 
Katika barrier tamu duniani ni hii, sometime nikiwa na buku au buku be nawaachiaga wana ya kahawa. Hawanaga noma na mtu.
 
Eti Waleteeeee we we, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…