ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Hapana mkuu nimeiona tu
Aisee.
Hii ni gari yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee.
Hii ni gari yako?
..hapa bado..sioni KY gel...au kwa mpalaa huendagi....Aaahahahahahahahaaaaa weeeeuweeeeeeeeeee
Utafanya watu wakifika njia panda Mombo wakate kulia kuchungulia Bataringaya na Kasie kunani 😂😂😂😂😂
View attachment 1650677
Nimejikoki hatariii 😜😜
Sipotezi pointi hata moja ahahahahahaa
View attachment 1650676
Vitendea kazi vyote vipo kamili na kuzidi, kazi kwako...🤣🤣🤣🤣🤣
K’ Matata.
Pls pls mkuu kuwa sensitive kwenye issue kama hiziKama million 200 unaona nyingi, na hizo gari za million 200 zimezagaa barabarani basi utakuwa na ufinyu wa fikra juu ya hela.
Hizo taa naona kama zipo pembezoni mwa barabara?au ni macho yangu?,maana zilitakiwa kuwa katikati ya barabara, kutenganisha side mbili za barabara, pembezoni wachore msitari wa yellow line, hizi taa usiku zinachanganya kama zipo pembezoni mwa barabara
[emoji1787]Barabara ya Mwigumbi - Maswa - Bariadi - Lamadi imemaliza kurekebishwa imekuwa tamu mno, mojawapo ya barabara nzuri kutembea.
Ila matokeo yake ndio haya, hii ni karibu na kwa Wigelekelo, kipande kiko straight hakina tuta, kona, mawimbi wala shimo.
View attachment 2454291
Imefanana na Ile ya Manyoni - Tabora
Hizi ni reflector zimewekwa kwenye zile kingo za chuma zilizopo ukingoni mwa barabara kwenye madaraja na kona kali.Pls pls mkuu kuwa sensitive kwenye issue kama hizi
Hizo taa naona kama zipo pembezoni mwa barabara?au ni macho yangu?,maana zilitakiwa kuwa katikati ya barabara, kutenganisha side mbili za barabara, pembezoni wachore msitari wa yellow line, hizi taa usiku zinachanganya kama zipo pembezoni mwa barabara
Hizi Crown zitamaliza vijanaBarabara ya Mwigumbi - Maswa - Bariadi - Lamadi imemaliza kurekebishwa imekuwa tamu mno, mojawapo ya barabara nzuri kutembea.
Ila matokeo yake ndio haya, hii ni karibu na kwa Wigelekelo, kipande kiko straight hakina tuta, kona, mawimbi wala shimo.
View attachment 2454291
Na waliokuwa wanaiendesha ni vijana haswaHizi Crown zitamaliza vijana
Tena wanazipenda kweli[emoji1787]Hizi Crown zitamaliza vijana
Duniani kuna vituko wallah, tambua tu hujaona yote wala kusikia yote chief. Mie nimeshuhudia na sio kuhadithiwa. Na kwa aliewahi kuendesha Landrover anaweza akawa na la kuchangia, Landrover mara nyingi zinasumbua rubber za clutch... Na inawezekana kuendesha ukianzia low mode without a clutch."Aliitoa clutch na brake" ukisikia maneno ya kijiweni ndio haya. HAIWEZEKANI KUENDESHEKA..
NASEMA HAIWEZEKANIIIIIII.
Unaondokea Low mode, na gear inabadilishwa kavu kavu, nadhani hii ya kubadilisha gear bila clutch sio ngeni kwako chief.Labda atufafanulie anaendeshaje.
Turejee namba 3 yako. Ndio mfano halisi wa huyo mzee.Mkuu kwenye hii fani ya Udereva nimegundua ukiacha aina za madereva kielimu kuna madereva wa aina hii pia
1. Madereva wa magari halisi hawa wanao ujuwa wajibu wao wakiwa na gari
2. Madereva wakokotaji wa magari yani yeye halewi kitu kuhusu gari isipokuwa kulitoa sehemu moja kulipeleka sehemu nyingine
3. Madereva wapuuziaji wa usalama wa magari yao, wao binafsi, abiria na mizigo.
Wao mara nyingi hujipa matumaini kua kila kibaya kikitokea ni bahati mbaya hivyo hawana tahadhari yoyote kwenye maisha ya udereva wao.
4. Na madereva wa midomo. Wao gari wanalijua kutokana na hadithi za mwenzie au kuona alivyo fanya mwenzie pasi na uzoefu wowote wa hilo katika madhara na wala kwa faida ya hilo jambo.
Nakumbuka kuna kiumbe siku kiliniambia eti kinanishauri ninapo kua nateremka mlimani hasa mikali niwe natumia high gear kwa sababu itanisaidia sana kwenye engine break maana gari itakuwa nzito hivyo hutatumia break nyingi.
Nikamwambia Shule uliesomea udereva Hakuna alie faulu kuliko Wewe yani.
Sasa nikashangaa kaanza kupanic na kusema kwaio unaniona mimi muongo sio haya ukipata ajali usinitafute Dah nikaona hiki ni zaidi ya kimeo
Ndio huyo gari haina break wala clutch sijui kama anajua kazi ya hiyo clutch kwenye manual transmission cars.
Barabara inaita kweli kuwasha moto[emoji28]Hizi ni reflector zimewekwa kwenye zile kingo za chuma zilizopo ukingoni mwa barabara kwenye madaraja na kona kali.
Za upande wako zinawaka mwanga wa njano, za opposite lane zinawaka mwanga mwekundu.
Kwa barabara hii yenye giza na isiyo na michoro zinasaidia sana kukuonyesha uelekeo wa kona na kingo kwenye madaraja
View attachment 2454421
Kila la kheriKesho mapema sana niko road....breakfast destination
Pics pls tupia za njianiKesho mapema sana niko road....breakfast destination