Hahahah lengo ilikuwa ni kuchangamsha genge tu bro 😀😀😀 hakuna gari isiotembea non stop ikiwa cooling system iko freshiHujui usemalo sijui kwanini unakuwa kama mtu asie na ABC za magari. Watu wanatoka SA mpaka Tz na kurudi na hizo gari kila miezi michache. Dogo mmoja namjua ana Golf mk5 huwa anaenda na kurudi mwanza kila mwezi mara mbili au tatu.
Mungu akijalia ntakuja kuishi na 2GR moja ya Lexus GS350Point of correction VQ35 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kiuhalisia tunaogopa tu magari yenye injini kubwa, hayatishi chochote.
Sasa mkuu trip hii nimeona gari nyingi za kijapan zimechemka hasa harrier tako la nyani. Nilichoona wengi wamefungua bonnet wanajaza maji. Wengi wanajisahau kukagua radiator. Katika vitu muhimu usisahau kukagua radiator. Hakikisha radiator yako iko vizuri.Hahahah lengo ilikuwa ni kuchangamsha genge tu bro 😀😀😀 hakuna gari isiotembea non stop ikiwa cooling system iko freshi
December 27 2021 km 111,111Halafu unasikia mtu anasema nissan mbovu
Hela yako isharudi unakula faida.December 27 2021 km 111,111
View attachment 2457442
December 25 2022 km 143,431
View attachment 2457444
Hizo ni 32,320 kwa mwaka bila malalamiko yoyote. Nissan sio mbovu. Ila ukiweka spea za kuokoteza itakutesa.
Hapo akidi itakuwa imetimiaMungu akijalia ntakuja kuishi na 2GR moja ya Lexus GS350
Tuna carelessness sana watanzania. Na mentality hiyo ndiyo inatufanya tunazipa gari fulani repuration mbaya kwasababu hatuna umakini wa kuzitunza zinavyotaka.Sasa mkuu trip hii nimeona gari nyingi za kijapan zimechemka hasa harrier tako la nyani. Nilichoona wengi wamefungua bonnet wanajaza maji. Wengi wanajisahau kukagua radiator. Katika vitu muhimu usisahau kukagua radiator. Hakikisha radiator yako iko vizuri.
Mmiliki ukiwa careless, ukamkabidhi fundi naye careless, gari zote utaona mbovu.Tuna carelessness sana watanzania. Na mentality hiyo ndiyo inatufanya tunazipa gari fulani repuration mbaya kwasababu hatuna umakini wa kuzitunza zinavyotaka.
Mkuu wewe upo Safi,inabidi tuungane tufanye road trip ya kwenda kwa Madiba, maana hizo 2700km for 4days, ukiongeza hapo 800km tayari upo jobergView attachment 2457402
Niko milimani mkuu chuma inapoa huku baada ya kutembea kama 2700km kwa siku 4
Sasa hizo inabidi ipigwe kwa siku 2 au 3.Mkuu wewe upo Safi,inabidi tuungane tufanye road trip ya kwenda kwa Madiba, maana hizo 2700km for 4days, ukiongeza hapo 800km tayari upo joberg
Hao ndio wale anatembelea gari ilimradi akiwasha inawaka tu 😀! Mie huwa nafuatilia sana gari hasa radiator na oils. Toka utotoni sijui sababu nimekulia kwenye gari nyingi. Ila kuna kruza mkonge ilikuwa inapoteza maji so kila siku lazma niwasheSasa mkuu trip hii nimeona gari nyingi za kijapan zimechemka hasa harrier tako la nyani. Nilichoona wengi wamefungua bonnet wanajaza maji. Wengi wanajisahau kukagua radiator. Katika vitu muhimu usisahau kukagua radiator. Hakikisha radiator yako iko vizuri.
Tumia hand brakeKwa gari ya Auto unatembeaje Bila Brake? Hili limekuwa jipya kwangu Labda kwa sababu ya ushamba wangu na magari, hebu tupeni Elimu hapo
Yes mkuu ukipiga T1 overnite asubuhi kuanzia saa 11am Zambian time unaianza ile nakonde by 2200 hrs mnaweka kambi Serenje, around 4am mnaanza Serenje by 2100 hodi Livingstone ,next morning by 5am mnaelekea kazungula border by 7am mnavuka then ni mkeka wa nguvu ikifika 1900hrs mpo Martin drift border mnavuka,rest kidogo, 2100 hrs mnaanza 4am good morning Joberg, yes tuifanye hii road trip mkuuSasa hizo inabidi ipigwe kwa siku 2 au 3.
Kila siku ukiendesha masaa 16 unaweza kucover 1000 - 1300 km kutegemeana na kipande cha barabara. Masaa 8 unapumzisha fuvu
So ata matumizi ya Google map huyajuiDecember 22 ..
Road trip Moshi to lake nyasa bamba bay... Gari Harrier matako ya nyani .. mwenye kujua road ya moshi mpk lake nyasa anipe direction wadau...
SidhaniMkuu bila Kvaaaaaa safari za mbali huwa nasinziaa balaaaa.. so Kvaaaaaa huwa inanichangamsha .. nakunywa kwa wastanii na Kvaaaaaa inanipa umakini sanaaa
Hahaa nilitaka kujua km unazotembea kwa mwezi + ugumu wa gari yakoDuh unawaza mbali mzee, wahasibu utawajua ty
Around km 35,000 kwa mwakaHahaa nilitaka kujua km unazotembea kwa mwezi + ugumu wa gari yako
[emoji1787]Yes mkuu ukipiga T1 overnite asubuhi kuanzia saa 11am Zambian time unaianza ile nakonde by 2200 hrs mnaweka kambi Serenje, around 4am mnaanza Serenje by 2100 hodi Livingstone ,next morning by 5am mnaelekea kazungula border by 7am mnavuka then ni mkeka wa nguvu ikifika 1900hrs mpo Martin drift border mnavuka,rest kidogo, 2100 hrs mnaanza 4am good morning Joberg, yes tuifanye hii road trip mkuu
Inshallah mkuu mipango ikikaa sawaYes mkuu ukipiga T1 overnite asubuhi kuanzia saa 11am Zambian time unaianza ile nakonde by 2200 hrs mnaweka kambi Serenje, around 4am mnaanza Serenje by 2100 hodi Livingstone ,next morning by 5am mnaelekea kazungula border by 7am mnavuka then ni mkeka wa nguvu ikifika 1900hrs mpo Martin drift border mnavuka,rest kidogo, 2100 hrs mnaanza 4am good morning Joberg, yes tuifanye hii road trip mkuu