Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Arusha mbona pakichumba sana.. nyie wana wasumbuaje asee 😀😀.. nimekuja mala kadhaa Arusha.. ila sijawi kutana na usumbufu wowote.. ni moja ya mikoa sijawai simamishwa na trafic
Niliwaona wengi double road na camera zao, nilisimamishwa Kia nilipofungua kioo tu(kina tinted) akaniruhusu niondoke bila maswali zaidi!
 
Uzi uendeeeleee mpaka mwaka uishe,uzi umenifanya niwaze jambo langu meaka huu.uzi unanifanya mwili wangu upate moto.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na mwenye uzi yupo muda woote na ndo inavutia, kwangu mi ndo uzi ninaozungukia kila siku baada ya uzi wangu pendwa wa timu ninayoshabikia na kuipenda
 
AMINA, maana kwa sasa nikisoma mnavyoelezea mambo ya kodi naona nitulie nisome upepo kwanza.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Uzuri kodi unaijua kabla. Ingine kwenye calculator ya TRA utajua gari uitakayo itakugharimu kiasi gani.
Shida ni kuagiza gari November na December ikifika ni January ambapo hawa jamaa wanakuwa washapandisha ushuru wakati wewe imepiga hesabu 5m unakutana na 8m.
Jitahidi uaguze gari ifike ndani ya mwaka husika.
 
Asante,nimekusoma mkuu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Aisee pole sana mkuu kwa mkasa huu..
Hapa kuna somo kubwa sana la kujifunza...

Mimi ni mwenyeji wa Chaga, mataa wa December naufahamu vizuri..

Wale jamaa sijui wana mtandao gani..? Ukishaulizia kitu duka moja mkashindwa bei, maduka yote utakutana na the same story..

Kuna madalali sijawahi kuona, hata bolt namba 12 ukitaka, inadalaliwa...[emoji1][emoji1]

Ule mtaa nimejenga urafiki na fundi mmoja tu, tena huyu fundi nilitafutiwa na mzee mmoja mwenye duka pale December..huyu mzee nilinunua kifaa kwake used, akaniambia atanipa kijana mzuri anifungie, kwa sababu yeye ndiyo fundi wake hata akinunua gari za kichinja ,ndiyo mvhinjaji wake..

Jamaa ni fundi mzuri na tunaelewana sana..
December, punguzeni madalali ni kero kwa wateja..[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huo mtaa upo wapi?

Inawezekana napita ila sipafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…