Swadakta nyama za wale masai sio za mchongo nakula kila navyopita wala sijawahi pata shida ya tumboInaonekana hapo Mkata wanauza sumu sio nyama, bora T1 ule nyama za wamasai pale vijiji vya jirani na DOMA
Yes pale unapata nyama nzuri na ukisukumia red bull yako na maji,usingizi hamna hadi tunduma!,sunset ikikukuta pale ni safi sana kuna view nzuri ya kijani kibichiSwadakta nyama za wale masai sio za mchongo nakula kila navyopita wala sijawahi pata shida ya tumbo
Fatigue, simu, bad following distance ndio tatizo hapa mkuu hasa simu...pls guys tafuta hand free au simu weka mbali ukiwa nyuma ya usukaniDuh hatari sana. So far njia ya kaskazini sijasikia ajali mbaya. Ila nimeshangaa sana nimekuta watu wamegonga nyuma ya magari mengine zaidi ya matukio matatu.
Hii ajali ilikua ni mbaya sana, kuna gari ilifanya T borne au driver huyu he lost the control of the car na aka roll over?,hii ni hatari mno
Halafu hii ya kugonga nyuma sijui niaje aisee! Kuna dada mmoja alinigonga kwa nyuma, unajua kuna ile unaona kabisa ajali inakuja soon...Duh hatari sana. So far njia ya kaskazini sijasikia ajali mbaya. Ila nimeshangaa sana nimekuta watu wamegonga nyuma ya magari mengine zaidi ya matukio matatu.
Sure na kuna eneo mbugani lina greenish nzuri sana kwanza ukifika hilo eneo unafeel tofauti kabisa aisee wanavyosema tutunze mazingira wako sahihi miti inasaidia sana kuboresha hali ya hewaYes pale unapata nyama nzuri na ukisukumia red bull yako na maji,usingizi hamna hadi tunduma!,sunset ikikukuta pale ni safi sana kuna view nzuri ya kijani kibichi
Siku hiyo niliapa it na mimi basi mwamba alipiga shimo rim ikapasuka na kama siku macha na njia naijua maana mimi ndio nilimsanua mbona uko mafuta na hili eneo lina mashimo ya lamiHawa jamaa ni hatar sana,wamejisusa!
Sasa nyingine nyama unakuta imekaa sana we nyama ya kuchoma inautelezi kama bamia muwe mnakagua nyamaa saa nyingine sio mnakatiwa na wewe unakulaSwadakta nyama za wale masai sio za mchongo nakula kila navyopita wala sijawahi pata shida ya tumbo
Umeimeza hii njia vizuri kabisa. Mule mule tuNadhani pale Ruvu Darajani ndio point ya mwisho ya kuwindana, zamani ilikua ukiimaliza Mlandizi tu tayari upo salama. Ila kwa sasa baada ya Ruvu huko mbele kiatu tuuu, ukishaivuka Chalinze ndio kabisaaa waleteee wewe unadili na taa za wanaokuja na vicheche tu. Barrier moja tu pale maeneo ya Mwidu nadhani ambao peace [emoji3577] tu wao, from there kiatu.
Hii kitu tangu mdogo nimekariri, sijawahi sahau maisha mbaka kesho. Hata mjini hii tabia ninayo na nadhani huwa inaniokoa sana mana safari za mkoa gafla huwa ni wese tu tekeeSasa mkuu trip hii nimeona gari nyingi za kijapan zimechemka hasa harrier tako la nyani. Nilichoona wengi wamefungua bonnet wanajaza maji. Wengi wanajisahau kukagua radiator. Katika vitu muhimu usisahau kukagua radiator. Hakikisha radiator yako iko vizuri.
Wazee walitufundisha vitu vikakaa kichwani💪Hao ndio wale anatembelea gari ilimradi akiwasha inawaka tu 😀! Mie huwa nafuatilia sana gari hasa radiator na oils. Toka utotoni sijui sababu nimekulia kwenye gari nyingi. Ila kuna kruza mkonge ilikuwa inapoteza maji so kila siku lazma niwashe
Eeh gari naosha na kukagua kabla hajasepa nayo. Akiwa kaenda zake nje ya nchi kimasomo huwa nilikuwa nazipasha moto. Wakija mafundi home nakaa nao naona wanachofanya elimu ya bure kabisa.Wazee walitufundisha vitu vikakaa kichwani💪