kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Ha ha nimecheka kama nawaona na jamaa yako alivyokuwa anakanyaga pedal kufukuzia machine lakini wapi [emoji1787][emoji1787]Aibu nyingine ni za kujitakia bora tungekausha tu [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha nimecheka kama nawaona na jamaa yako alivyokuwa anakanyaga pedal kufukuzia machine lakini wapi [emoji1787][emoji1787]Aibu nyingine ni za kujitakia bora tungekausha tu [emoji28]
Na nyie mngemtafuta mnyonge wenu mkuuHaha hata Hiyo Spare tyre cover huioni Linapotea completely [emoji28]
Ila chief Noah Voxy ya 1AZ inatembea kuliko IST ya 1NZ au 2NZ.Sasa Noah atapata mnyonge gani? Hata IST itamtoa jasho. Gari nyingine sio za ligi hata ya mchangani.
Kuna midude mi huwa sina shobo nayo kabisa likinipita najifanya kama vile sijaliona eti. Ila Hawa jamaa wa IST ukiwakuta wamekomaa unabaki una jiuliza maswali hupati jibu.Sasa Noah atapata mnyonge gani? Hata IST itamtoa jasho. Gari nyingine sio za ligi hata ya mchangani.
Wanatoana jasho wote wale wale. Kuna siku niliona jamaa wa Allion anakomeshwa na IST mbele yake kila akitaka kupita IST inakaza alihangaika sana. Unakuta wote wana engine sawa au tofauti ndogo sana.Ila chief Noah Voxy ya 1AZ inatembea kuliko IST ya 1NZ au 2NZ.
[emoji1787][emoji1787]Sasa Noah atapata mnyonge gani? Hata IST itamtoa jasho. Gari nyingine sio za ligi hata ya mchangani.
Kama ulikuwepo mzee yani ukiskia harakati za pimbi ndo zile[emoji23]Ha ha nimecheka kama nawaona na jamaa yako alivyokuwa anakanyaga pedal kufukuzia machine lakini wapi [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ulikuwepo mzee yani ukiskia harakati za pimbi ndo zile[emoji23]
Jamaa wa IST ni watata aisee. Kuna mmoja alinipita kwenye zile kona za Njombe Songea mie nlikua nacheza 80km nikishuka 70, sasa jamaa alinikata kama upepo nlikuja kumkuta karibia na Madaba kaweka chuma kulia hood imefunguliwa nikajisemea tayari kimeumana.Kuna midude mi huwa sina shobo nayo kabisa likinipita najifanya kama vile sijaliona eti. Ila Hawa jamaa wa IST ukiwakuta wamekomaa unabaki una jiuliza maswali hupati jibu.
😂😂 Hao mi nawaacha wapite zao maana ikakywa kama mtu mzima ushindane mbio na mtoto anajifunza kutembea.Jamaa wa IST ni watata aisee. Kuna mmoja alinipita kwenye zile kona za Njombe Songea mie nlikua nacheza 80km nikishuka 70, sasa jamaa alinikata kama upepo nlikuja kumkuta karibia na Madaba kaweka chuma kulia hood imefunguliwa nikajisemea tayari kimeumana.
Tuende tu kistaarabu,mambo ya kumaliza visahani tuwaachie kina Lewis Hamilton na wenzao [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari sana Mie huwa sitaki ligi japo muda mwingine hua nafungua valve mzee. Kuna lile wazo linanijia la je what if likitokea la kutokea itakuwaje? Nikiwaza majukumu nk, Fasta na slow down hadi kwenye 100Km/H basi nachezea humo humo tu. Safari ni safari mzee chakufia nini [emoji1787][emoji1787]
Wanaopush IST wengi ni vijana kwahyo muda wote wanawaza ligi kama huyu hapo chini[emoji28]Jamaa wa IST ni watata aisee. Kuna mmoja alinipita kwenye zile kona za Njombe Songea mie nlikua nacheza 80km nikishuka 70, sasa jamaa alinikata kama upepo nlikuja kumkuta karibia na Madaba kaweka chuma kulia hood imefunguliwa nikajisemea tayari kimeumana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatari kwelikweli
Sijui atashindana na wangapi [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatari kwelikweli
Hatari sanaUliachwa kama umesimama vile
Gharama za kutengeneza hiyo Porsche hapo unanunua IST ngapi[emoji3]
Kona ilimshinda au nini shida? 🤣! Cost of repair naomba nikae kimya