smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
wanaoamini katika sheria ya karma wanadai tukio la mwisho ambalo utakuwa unalifanya wakati wa kuingia mwaka mpya,ndio litatoa hatma ya mzunguko wako wa maisha kwa mwaka mzima.
kama mwaka mpya ulikukuta lodge unangonoka na kahaba au bar unalewa pombe basi destiny yako ya maisha kwa mwaka mzima, itaenda sambamba na baadhi ya matukio uliyoyafanya siku ambayo mwaka uligeuka. hiyo ni kwa mujibu ya wanaomini katika sheria ya karma.
kwangu mwaka mpya umenikuta nikiwa katika roadtrip ya kikazi maeneo ya nyanda za juu kusini. ni imani yangu 2023 utakuwa ni mwaka wenye roadtrip nyingi za faida kwangu na kwako pia. happy new year dear friends.
nimekuwekea ka-video hapa chini.