ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Enjoy mkuu hiyi ni masaa 10 tuHeri ya mwaka mpya wazee wa roadtrips.
Nna trip moja inanisubiri week inayoanza kesho ya km 800+.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enjoy mkuu hiyi ni masaa 10 tuHeri ya mwaka mpya wazee wa roadtrips.
Nna trip moja inanisubiri week inayoanza kesho ya km 800+.....
ila ikiwa kwenye cruise control inakunyima wewe dereva kufanya chochote kwenye mfumo wa gear au break au mafuta.
Naongelea cruise yenyewe kutumia engine braking ku arrest speed gain instead of friction brakes, ni njia boraUkigusa brake au accelerator cruise control disengages
Cruise nzuri kwenye tambarare tu kama njia ina up and down itakumalizia wese maanake yenyewe inataka kupanda na mwendo ule ule uliosetHaikunyimi ila ukikanyaga mafuta au brake cruise inajidisconnect mpaka utakapo resume.
Also cruise control ni less efficient kwenye ulaji wa mafuta kwasababu mfano kwenye milima unaweza ukaiacha gari igain momentum wakati wa kushuka na gravity kisha wakati inapanda ukairuhusu ipunguze speed na kutumia momentum uliyogain kupanda bila kukanyaga mafuta. Hiyo inasave mafuta kuliko cruise ambayo itaslow wakati wa kushuka na kutumia power wakati wa kupanda
I second you.... Walioweka utaratibu wa don't drink and drive wanajua ... Ni hatari sana coz hata in case of accident or injury hutaweza tibiwa mpaka pombe itoke mwilini.Anyways, mimi sio mzazi wako na sitaki kukupangia.
Ila nashauri tu, alcohol and driving is very dangerous.
Leo utapatia utajiona mjanja ila kuna siku hutaamini kitakachotokea.
Hii mmenishinda, kipaji hiko sina.Inabidi tuanzishe challenge ya utumiaji mdogo wa mafuta kwa gari zenye 2500cc au zaidi / 6 cylinders
Nimemaliza na 13kmpl ila average speed sasa 56.5kmph distance 230km
View attachment 2465664
Hivi Road Engineers wa iringa na njombe hadi mbeya hawana uwezo wa kufuatilia mbali yale matuta?hasa kuanzia mafinga hadi igawa, zile tuta zinanitiaga hasira sanaView attachment 2465559
Topography ya mkeka wa Iringa - Igawa inakupa consumption nzuri ukiishi nayo inavyotaka
Hiyo ni average ya 12.2kmpl baada ya km 200 kutoka Iringa
Duh mkuu huyo jamaa wa Kigamboni ndio nani?
Ng'ombe hazeeki mainiHii mmenishinda, kipaji hiko sina.
Hii ipo kwa SUVs bila shaka. Ile Haval tulioenda nayo Arusha ina cruise na descent control. Ila engine haina gutsSasa kuna ile decent control hii ndio maalum kushuka vilima korofi hasa off road. Maanake cruise speed yake si chini ya 40kph. Decent control kitu kinashuka 2mph tu