Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama ulikuwepo mzee yani ukiskia harakati za pimbi ndo zile[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari sana Mie huwa sitaki ligi japo muda mwingine hua nafungua valve mzee. Kuna lile wazo linanijia la je what if likitokea la kutokea itakuwaje? Nikiwaza majukumu nk, Fasta na slow down hadi kwenye 100Km/H basi nachezea humo humo tu. Safari ni safari mzee chakufia nini [emoji1787][emoji1787]
 
Kuna midude mi huwa sina shobo nayo kabisa likinipita najifanya kama vile sijaliona eti. Ila Hawa jamaa wa IST ukiwakuta wamekomaa unabaki una jiuliza maswali hupati jibu.
Jamaa wa IST ni watata aisee. Kuna mmoja alinipita kwenye zile kona za Njombe Songea mie nlikua nacheza 80km nikishuka 70, sasa jamaa alinikata kama upepo nlikuja kumkuta karibia na Madaba kaweka chuma kulia hood imefunguliwa nikajisemea tayari kimeumana.
 
😂😂 Hao mi nawaacha wapite zao maana ikakywa kama mtu mzima ushindane mbio na mtoto anajifunza kutembea.
 
Tuende tu kistaarabu,mambo ya kumaliza visahani tuwaachie kina Lewis Hamilton na wenzao [emoji28]
 
Wanaopush IST wengi ni vijana kwahyo muda wote wanawaza ligi kama huyu hapo chini[emoji28]
View attachment 2469991
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…