ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kuna mdada member wa hii thread jina limenitoka kapotea sana. Jina lake wengi walikuwa wanafikiri ni me. Recently alinunua IST sijui yuko wapi?
ISO M.CodD Saint Anne
Wenyeji wanasema msimu huu mchana unakuwa mrefu kuliko usiku.
Hii ni mafinga saa 12, na jua halina mpango wa kuzama
View attachment 2484931
T1 haitaki hasira watakumaliza
MNANSOKuna mdada member wa hii thread jina limenitoka kapotea sana. Jina lake wengi walikuwa wanafikiri ni me. Recently alinunua IST sijui yuko wapi?
ISO M.CodD Saint Anne
Daah mambo mengi huu mwakaa, kuanzia August ntakua free kuzururaaa.Huzururi tena?
Atatumiss atakuja. Huu uzi hata ukiusahau, siku ukiwa unapiga trip utaukumbukaHuyo huyo
UtushirikisheDaah mambo mengi huu mwakaa, kuanzia August ntakua free kuzururaaa.
Hata ucjar Mr.Utushirikishe
Aahh finalist niniDaah mambo mengi huu mwakaa, kuanzia August ntakua free kuzururaaa.
Fuel consumption ya vista ipoje ?
Mzee app gan hiiDom to nzega [emoji41]View attachment 2487640