Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga, Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo.
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
image.jpg
 
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?....

Mambo double R, uliadimika hadi nikajua unachukua PhD ya karantini bin korona 😅😅

Ukifika Mombo nipigie niteremke tufanye ligi kidogo kuelekea kaskazini zaidi. Niko na manual gear DKQ 🤪.
 
DVA ni German machine au Japanese?

Back
Top Bottom