Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mi kila mwezi napiga moja kaka ila sio ndefu sana napigaga 500KM max kutokea Dar sasa itategemea.

December hii Dodoma nadhani.
 
Sometimes ukipata kampani kama hio Raha sana. Anakuwa pace maker wako hamshindani Bali mnafuatana

Sawa kabisa umesema neno sahihi, nilikuwa nashindwa naelezeaje.

Pacemaker wa barabarani yaani raha mnoo, na hiyo inafanya mmoja akipata tatizo mwingine anakuwa nyuma au mbele anasimama kulitatua.

Can you do that from Mombo to A’ Town?
 
Will do so Kasie Matata
 
Mi kila mwezi napiga moja kaka ila sio ndefu sana napigaga 500KM max kutokea Dar sasa itategemea.

December hii Dodoma nadhani.
Ya mwisho nilipiga mwezi wa kumi Dar-Moro tu, hii ya December ndio huwa ya lazima kufunga mwaka. Napanga nipige moja ya Dar-Moro-Dom-Singida-Arusha-Kili-Dar
Ukitaka kuona uzuri wa hii nchi piga road trip. Tumebarikiwa
 
Nimepanga Arusha-Dar next WK.
Namaliziamalizia kurekekebisha kimeo changu.
Nimebadilisha steering rack,shock up mbele na nyuma,fuel filter,bush, hydraulic oil,wheel alignment na ishu ndogondogo nyingine..
Natumai hakitaniangusha..
Kwa service hio lazima itakuwa vizuri
 
Back
Top Bottom