Yes. Unapaswa kuwa mbunifu. Unakua na matukio ya utundu mpaka watu wanasema umedanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] kwamfano kama hapa unaweza fanya matukio barabarani huko mpk wanaume wanauliza we ni mwanamke kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najisikia kucheka jaman. Unakamatwa unasema naenda mochwari kutambua maiti jamani eeh.... ilaaaa... mpk trafiki anakuambia nimeshachoka makosa yako kuna siki utaniua na mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napenda jaman haya matukioooo.
Kuna siku trafiki anaitaa magari upande wetu kwenda town. Tumekaaa weee hatuiti. Pale pale kwenye mataa mawazo yalabadilika nikawa nabonyezea nichepuke palepale ghafla akawa ameita magari yetu na akatuona, sasa akawa anaita akatuita na sisi kwa ishara ya mkono teena kwa dharau sana yaan nyie njooni hapaaa kwa ishara. Na mm nikasema nakomaa yaan hapa naigeuza kama yaan anatuvuta. Nikanyoosha. Si mbele akatuibukia na bodaboda pale mataa ya chang'ombe. Bahati mbaya milango iko wazi. Akawa anafungua ila ulikua mbovu. Nikameuliza unapanda gari la nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule boda anasubiria maaana anadai chake kufukuzia. Tukaeleweshana pale wee wapi. Akagoma akasema lazima tugeuze turudi tulipofanyia makosa. Ubaya sasa mpk boda anatumika kama shahidi lkn kwakua yule kijana ni mhuni akamwambia lkn mzee mbona hivyo ni kuvuta magari afandee? Basi tukamwambia tunageuka ila hapandi gari yetu. Ikabidi arudi na boda yake. Kumbuka gharama zinazidi kwa boda. Pale tulimpa ten akagoma, 15 akagoma. Basi tukasema twende rurudi. Yule boda bwana Mungu ambariki sana[emoji23][emoji23] alikua anaenda mwendo wa kunyata kusudi. Trafki anamwiliza unawaona kweli. Anamwambia si hao hapo... basi bana tukawa tunaenda mwendo wa kupitezana. Mpaka tazara. Yule boda anamcheleweshea trafiki kwa mwendo mdogo[emoji23][emoji23][emoji23] pale tazara tukapiga cross barabara ya buguruni. Trafki naye akatimba tazara. Hatuoni[emoji23] qkaanza pagawaa. Akasema hawa wametobolea la bugurun lzm. Akaja bana. Sasa pale sisi tulichofanya tukapiga zetu ruti la Ilala. Nyoosha sana gotiii[emoji23][emoji23][emoji23]. Trafiki kufika buguruni pale ndo akachanganyikiwa. Akajiuliza wameelekea wapi sasa. Ilala ama ubungo? Hapo akachoka. Basi akakasirka sana akawa amechoka kweli. Akataka kumrelease bodaboda aende hajamlipa. Bodaboda alikiamshaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] trafiki akatoa elf 15 ya watu. Mpk kesho sitaki kimbuka. Nilijaenda kijiweni kwa huyo boda tukapiga sana story nikamtoa bwana kama furaha na shukrani