Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Hahahaaaaaa nimecheka sanaKifuatacho soon tutaingia namba E....Basi hawa wa Namba E watakuwa wanaona Dunia nzima ni yao....utakutana na Porte namba E jamaa kavaa miwani nyeusi, kakata kishoka, ndevu kaziachia kama brush....yaani atatuona tuliobaki wote ni washamba tu..[emoji848][emoji848]...akisimamishwa na askari, ataongea kwa kiburi cha namba E, basi askari hapo anachora vyeti tu.
Hawa wenye D wataanza kujiona kama sisi wenye C tunavyojiona leo hii..
Wenye C tutajiona kama wanavyojiona wenye B leo hii..
Wenye B watajiona kama wanavyojiona wenye namba A leo hii...
Wenye namba A watajiona wamerudishwa enzi za namba TZ 009844[emoji21]
Wale ambao waliwahi kuwa na namba TZ.......watajihisi wanaishi on the other side of the hell....[emoji26][emoji26]
Ndiyo Tanzania hii imetawaliwa na Plate namba na Low mileage..