Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Njia ya Arusha-Moshi kuna sehemu katikati ni pori kuna Kona fulani ila kuna 50kph limit. Sasa porini kuna sababu gani ya kuweka 50kph limit?
I think utakuwa unazungumzia ile kona ya mto Kikaf kabla ya kufika machame road kama unaelekea moshi.....Aisee pale wanapiga tochi vibaya sana wapo serious kwa tochi eneo lile....Na wanakaa vichakani kutawaona...ukishapigwa tochi mara nyingi wanakukamatia pale machame road kama kama unaenda Moshi...kama unakuja Arusha, utakuta sare nyeupe maeneo ya Kwa Sadala wanakusubiri....

Nilishaoigwa tochi pale nilistukia ka Passo kamepaki pembeni kihasara hasara nikahisi ni breakdown..
 
Yeah maeneo hayo hayo, Sasa likitangulia Lori foleni yake acha tu
 
Mkuu zile zimewekwa temporary kwa sababu ya ujenzi unaondelea...subiri iishe kati iwepo ya mwendo kasi uone
Ni kweli ila mkuu speed limit za ujenzi si pia wazee wa fedha wanahusika nazo???
Pia hata hiyo kimara town, kkunasehemu zina 50 hata baadhi ya barabara mjini pia ila hakuna mtu anazizingatia
 
Nilishajifunza mkuu,sasa hivi ni comprehensive mwanzo mwisho.
Binafsi kabla ya kukatia gari insurance huwa nina asses exposure yangu kupata accident.Example,kama uendeshaji wangu wa gari barabarani ni wa nadra sana manake uwezekano wangu wa kupata ajili pia ni mdogo hivyo nitakata third party and vice versa.
Lakini pia huwa naangalia ukubwa wa engine ya gari,kama engine ya gari ni ndogo manake uwezo wa gari kupata accident kubwa na wenyewe unapungua.Example in US,ukiwa na gari lenye cc kubwa lazima utalipia insurance kubwa zaidi kwa maana risk ya kupata accident ni kubwa.
Then huwa naangalia Age pamoja na who is driving mara nyingi,Gari kama huwa nimelitumia miaka mingi huwa nalipia third party.Incase ikitokea pengine nimenunua gari na dereva ni mwingine probability ya kukata comprehensive ni kubwa.
 
Hapo hapo kwenye bima nina maswali lukuki natamani mtu akayaelezea.
Asilimia kubwa ya magari ya Dar yapo chini na wamiliki wamefanya jitihada kuyapandisha juu kwa njia mbalimbali (Spring, tairi, spacers).
1. Mtu aliyepandisha gari lake juu alafu ndo akawa ndo mwenye makosa kwenye ajali, je insuarance yake itatengenezwa gari lililogongwa?
2. Je kama ana comprehensive je na yeye atafidiwa?
 
Safo sana mkuu,kwa huku bongo Comprehensive nalipia 3% ya thamani ya gari + VAT(18%),nikicheki risk ya kukata 3rd party naona ni kubwa sana ikitokea msala,so bora nikate hio premium tu mkuu.
 
Hapo hapo kwenye bima nina maswali lukuki natamani mtu akayaelezea.
Asilimia kubwa ya magari ya Dar yapo chini na wamiliki wamefanya jitihada kuyapandisha juu kwa njia mbalimbali (Spring, tairi, spacers).
1. Mtu aliyepandisha gari lake juu alafu ndo akawa ndo mwenye makosa kwenye ajali, je insuarance yake itatengenezwa gari lililogongwa?
2. Je kama ana comprehensive je na yeye atafidiwa?
Comprehensive hata ukilewa ukagonga gari jingine yote yatatengenezwa,so nadhani kwa case zote 2 ni imeisha hioooooo.
 
Issue ipo hv-
1st-Kama una comprehensive insurance,ikatokea umemgonga mtu barabarani-bima yako itatengeneza gari lako na la yule uliyemsababishia ajali.
2nd-Kama una Third party-Bima yako itatengeneza gari la yule uliyemsababishia ajali tu.
 
Comprehensive hata ukilewa ukagonga gari jingine yote yatatengenezwa,so nadhani kwa case zote 2 ni imeisha hioooooo.
Hapo kwenye kulewa sina uhakika. Ila comp inatengeneza gari yako na yule uliemgonga iwapo makosa kwenye ajali ni yako. Makosa ya kibinadamu ila kulewa na imethibitika umelewa hapo ngoja niulize wataalam wa insurance.
 
Binafsi kabla ya kukatia gari insurance huwa nina asses exposure yangu kupata accident.Example,kama uendeshaji wangu wa gari barabarani ni wa nadra sana manake uwezekano wangu wa kupata ajili pia ni mdogo hivyo nitakata third party and vice versa.
Lakini pia huwa naangalia ukubwa wa engine ya gari,kama engine ya gari ni ndogo manake uwezo wa gari kupata accident kubwa na wenyewe unapungua.Example in US,ukiwa na gari lenye cc kubwa lazima utalipia insurance kubwa zaidi kwa maana risk ya kupata accident ni kubwa.
Then huwa naangalia Age pamoja na who is driving mara nyingi,Gari kama huwa nimelitumia miaka mingi huwa nalipia third party.Incase ikitokea pengine nimenunua gari na dereva ni mwingine probability ya kukata comprehensive ni kubwa.
Mkuu comprehensive ina umuhimu sana, hata kama wewe unaendesha vizuri na kuzingatia yote atatokea mlevi atakubutua na hana insurance kabisa. Hapa ndio utaona umuhimu wa kuwa na comp cover.
 
Back
Top Bottom