Tanzania kuna maigizo ya Bima mkuu 😁 😁 😁 😁 ,Gari inapata ajali alafu huo usumbufu wake utadhania ulikuwa unapewa bure-Policy za insurance karibia zote duniani zinafanana ila treatment ni tofauti kabisa kati ya nchi na nchi.Kwanza ilibid gari ikipata ajali insurance co. ikutafutie gari nyingine inayofanana kihadhi na gari yako utumie kukamilisha shughuli zako mpaka claim yako itakapokuwa settled.Comprehensive Tanzania kiufupi ni overrated.Mkuu comprehensive ina umuhimu sana, hata kama wewe unaendesha vizuri na kuzingatia yote atatokea mlevi atakubutua na hana insurance kabisa. Hapa ndio utaona umuhimu wa kuwa na comp cover.