Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh leo nimetenda dhambi roho imeniuma sana. Nilikuwa na gari sijaizoe. Taa ya mafuta imewaka range inanionesha nina km20 tu. Nikaamua niweke mafuta ya kunifikisha home tu nikaweka 10,000 nilijua itaongeza range hadi km60 hivi. Baada ya kuweka mshale haukusogea wala range haikubadilika. Nikaenda ninapoenda range inashuka.
Kurudi nikapita njia ile ile range iko 14, nikapita pale kituo cha mafuta nikamwambia Yule dada nimeweka mafuta hapa kwako lakini gauge haikupanda wala kuonesha kuna mafuta yameingia, umeniibia! Dada Yule akasema sijakuibia nimekuwekea hela ulionipa nikamwambia haiwezekani kusiwe na mabadiliko kwenye gauge, ikabidi niende kituo kingine nikaweka 10, aisee gauge ikakurupuka ikapanda sana na range ikaja kwenye 110km. Hapo nikajua ni kweli aliweka mafuta nimemsingizia tu. Nimejisikia vibaya sana.
Sasa inabidi umrudie umwambie hata sahmahani, roho itatulia
 
Nipo Arusha..
nina simulizi tamu ya safari yangu jana..
kutoka nilipotoka hadi hapa kwenu
Kwetu wapi tena jamani?

Screenshot_20210113-231613.png

Weka hiyo simulizi...
 
Itanibidi nitembee na kamba ya kukufunga kabisaa...Ili ukivua seat belt lamba ibaki..[emoji28][emoji28][emoji28]

unakuta ni majira ya saa saba mchana, asakri akiangalia salio alilotumwa na bosi halijajaa,walahi hakuaachii...

Sasa hivi askari wakali sana maswala ya seat belt kwa anaweza akakagua magari kumi asiambulie kitu, akikuta seat belt haijatumika, anabonyeza hapo hapo..
Ila mimi seat belt hata niwe naenda safari ya dakika 3 lazima nivae yaani ni kitu ambacho kwangu ni voluntary,ilishaniokoa na ajali moja matata sana.

Na mtu akipanda gari yangu kitu cha kwanza ni funga mkanda sinaga aibu kwny hilo.
 
Mimi nikipanda cha kwanza ni kukunjua seat, kama ni lift sijamzoea dereva uwa nakaa nyuma. mkanda sio kipaumbele mpaka nikumbushwe. Nina balaa basi tu
 
Ila mimi seat belt hata niwe naenda safari ya dakika 3 lazima nivae yaani ni kitu ambacho kwangu ni voluntary,ilishaniokoa na ajali moja matata sana.

Na mtu akipanda gari yangu kitu cha kwanza ni funga mkanda sinaga aibu kwny hilo.
mimi nikifunga mkanda ndo najiona nipo vizuri, nisipofunga najiona naelea kwenye kiti.
Belt ya abiria ina taa yake, inablink kwa sifa kwa hiyo nafanyaga kuwaonesha hiyo taa tu
 
Back
Top Bottom