Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
cc: Baba BataringayaNdioo nimekimbia daaah mzima lakin baba bataringanya wako huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cc: Baba BataringayaNdioo nimekimbia daaah mzima lakin baba bataringanya wako huyo
Wapi hapa ?Bongo hii hiiView attachment 1678852
Picha inafaa kubeba tuzo ya uzi.maana imepigwa kwa ueledi mkubwa imewasilisha mandhari ya kuvutia pia na muonekana wako bila kuacha a single hints hata watu wa forensic hawataambulia kitu.....Bongo hii hiiView attachment 1678852
Haka ka road kanashwishi kukanyaga mafuta haswaaa 😀😀Hii picha hata mimi nimeikubali
Barabara gani hii JB?Bongo hii hiiView attachment 1678852
Nimerudi tena kuweka mafuta pale pale,yafuatayo ndio mazunguzo yangu na Yule dadaMwachie 10 ya pole.
Uko vizuri sana MzeeBaba. Kwa kutoa Tips uko vizuri sana. Nimekubali.[emoji108]Nimerudi tena kuweka mafuta pale pale,yafuatayo ndio mazunguzo yangu na Yule dada
Mimi:Mambo
Yeye😛oa
Mimi:Niwekee 15,000 (huku nampa20,000)
Yeye:Naomba uangalie kabla sijaanza kuweka nishakukariri
Nikatabasamu na yeye akacheka
Yeye:Siku ile mshale ulipanda
Mimi:Ulipanda ni kweli uliniwekea mafuta
Yeye:Ulijisikiaje
Mimi: Nilijisikia vibaya sana ndio maana leo nimekuja tena kwako nikuombe msamaha
Yeye:Mimi nimekusamehe (huku akinirudishia chenji 5,000)
Mimi:Asante hio chenji kaa nayo ni sehemu ya msamaha wangu.
Nilimuacha ametabasamu na roho yangu imetulia.
...bado jambo moja hujafanya....fanya kubadilisha namba za simu...ndiyo mmeshakuwa friends hivyo..[emoji1][emoji1]Nimerudi tena kuweka mafuta pale pale,yafuatayo ndio mazunguzo yangu na Yule dada
Mimi:Mambo
Yeye😛oa
Mimi:Niwekee 15,000 (huku nampa20,000)
Yeye:Naomba uangalie kabla sijaanza kuweka nishakukariri
Nikatabasamu na yeye akacheka
Yeye:Siku ile mshale ulipanda
Mimi:Ulipanda ni kweli uliniwekea mafuta
Yeye:Ulijisikiaje
Mimi: Nilijisikia vibaya sana ndio maana leo nimekuja tena kwako nikuombe msamaha
Yeye:Mimi nimekusamehe (huku akinirudishia chenji 5,000)
Mimi:Asante hio chenji kaa nayo ni sehemu ya msamaha wangu.
Nilimuacha ametabasamu na roho yangu imetulia.
Mambo hayo hayo Jamaa alioa Traffic juzi tu hapa....bado jambo moja hujafanya....fanya kubadilisha namba za simu...ndiyo mmeshakuwa friends hivyo..[emoji1][emoji1]
Masihara masihara eehMambo hayo hayo Jamaa alioa Traffic juzi tu hapa.
[emoji1][emoji1]itapendeza sanaHa ha ha next time.
....unashangaa jamaa December ijayo analeta uzi tuchangie harusi yake, wameshayajenga huko..[emoji1][emoji1][emoji1]Mambo hayo hayo Jamaa alioa Traffic juzi tu hapa.
Sumbawanga - Tunduma Rd kabla ya kufika mizani ya Nkangamo ukitokea Laela.Barabara gani hii JB?
Na ndo barabara yenye matuta mengi kuliko yoyote hapa nchi,idadi ya matuta inazidi idadi za kilometa za barabaraHii ndio ilijengwa kwa hisani ya USA? Nilisikia watu wakisifia kiwango chake
Yale mabango ya "...kwa msaada wa watu wa..." yananikera kwelikweli, ila sina jinsi natamani yapauke yasisomeke. Nasikia aibu.Hii ndio ilijengwa kwa hisani ya USA? Nilisikia watu wakisifia kiwango chake