JBourne59
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 946
- 8,640
Yes, Tunduma hadi Sumbawanga ni kilomita 225 hivi, matuta yapo kama 220 hivi hapo bila kuhesabu rasta!Na ndo barabara yenye matuta mengi kuliko yoyote hapa nchi,idadi ya matuta inazidi idadi za kilometa za barabara
Ila nilivyopita siku chache zilizopita, niliona kama kuna baadhi ya matuta yameondolewa, ila bado yapo mengi sana.
Wazee wa kumaliza 'kisahani' panawafaa ila utamu unakatishwa na tuta la kufa mtu.