Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huwa nagombana na abiria wangu mvivu kupiga picha....anabaki kujipiga picha yeye badala ya mazingira mazuri
😃😃😃😃😃😃 mie cha kwanza mazingira, cha pili lazima nipaki pembeni nishangae kidogo.. maana mie uzuri wangu huwa sisafiri na mtu.. na enjoy sana nikiwemo mwenye kwenye gari na nikuwa huru sana
 
View attachment 1679551

Kwa mbaaaliii kuna ndugu jamaa na marafiki wanapunga upepo wa barabarani 😜.
Haka ka kipande ka morogoro.. kutokea dumila hadi gairo huwa kanajuta. Kunifahamu.. 😀😀😀 alafu baada ya hapo kutokea kibaigwa huwa panasoma namba.. hiyo to night.. mwanza huwa naamka nao 😃😃😃😃😃...
 
Duh unanipa mzuka wa road trip!
Sema hupendi safari za usiku, hii barabara usiku kuanzia dumila unaweza tafuta kisaani cha ziada.. dumila hadi gairo kuna kipindi nilikuwa na machine moja ilikuwa 240.. nilikuwa natembelea 150, 180, 200.. ngoma ilikuwa inajishindilia chini baraa alafu hata uoni kama inatembea.. ila kilicho kuja nishangaa dodoma nimeingia saa sita usiku, huku nilitoka dumila sikosei kitu kama saa nne 😃😃😃.. nimeamka na miamba iliyokesha diamond club ya mwanza 😀😀😀
 
Tatizo nakimbia sana, usiku siwezi kuona umbali mrefu. Naogopa vicheche nisije kukutana nacho kwenye Kona au Mlima nikiwa 170! Nishapiga trip za usiku ila inachosha. Unapishana na gari then huoni kwa sekunde kadhaa ni hatari.
 
Haka ka kipande ka morogoro.. kutokea dumila hadi gairo huwa kanajuta. Kunifahamu.. 😀😀😀 alafu baada ya hapo kutokea kibaigwa huwa panasoma namba.. hiyo to night.. mwanza huwa naamka nao 😃😃😃😃😃...
Kuna sehemu Moro Dom nasikia barabara haijatulia
 
Back
Top Bottom