Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babati Arusha is the best. Kwanza ina mandhari nzuri.Nina plan ya kupiga hii route.
Sehemu ikishakuwa na mandhari nzuri, natembea 30,40.. napiga piga vi picha, nashuka zangu.. nakaa dk ngapi nakula vitu vyangu.. mdogo mdogo tuBabati Arusha is the best. Kwanza ina mandhari nzuri.
Kondoa Dom kawaida tu me naona.
Inapendeza.Sehemu ikishakuwa na mandhari nzuri, natembea 30,40.. napiga piga vi picha, nashuka zangu.. nakaa dk ngapi nakula vitu vyangu.. mdogo mdogo tu
Huwa nagombana na abiria wangu mvivu kupiga picha....anabaki kujipiga picha yeye badala ya mazingira mazuriSehemu ikishakuwa na mandhari nzuri, natembea 30,40.. napiga piga vi picha, nashuka zangu.. nakaa dk ngapi nakula vitu vyangu.. mdogo mdogo tu
😀😀.. ile green huwa naipenda sana.. hapa umeisha nipa mzuka wa safari..Inapendeza.
Alafu umechange username eeh?!! Muone 😀
😃😃😃😃😃😃 mie cha kwanza mazingira, cha pili lazima nipaki pembeni nishangae kidogo.. maana mie uzuri wangu huwa sisafiri na mtu.. na enjoy sana nikiwemo mwenye kwenye gari na nikuwa huru sanaHuwa nagombana na abiria wangu mvivu kupiga picha....anabaki kujipiga picha yeye badala ya mazingira mazuri
Green tamuuu.😀😀.. ile green huwa naipenda sana.. hapa umeisha nipa mzuka wa safari..
Haka ka kipande ka morogoro.. kutokea dumila hadi gairo huwa kanajuta. Kunifahamu.. 😀😀😀 alafu baada ya hapo kutokea kibaigwa huwa panasoma namba.. hiyo to night.. mwanza huwa naamka nao 😃😃😃😃😃...
Sema hupendi safari za usiku, hii barabara usiku kuanzia dumila unaweza tafuta kisaani cha ziada.. dumila hadi gairo kuna kipindi nilikuwa na machine moja ilikuwa 240.. nilikuwa natembelea 150, 180, 200.. ngoma ilikuwa inajishindilia chini baraa alafu hata uoni kama inatembea.. ila kilicho kuja nishangaa dodoma nimeingia saa sita usiku, huku nilitoka dumila sikosei kitu kama saa nne 😃😃😃.. nimeamka na miamba iliyokesha diamond club ya mwanza 😀😀😀Duh unanipa mzuka wa road trip!
Duh km 500+ peke yangu sijui kama nitaweza😃😃😃😃😃😃 mie cha kwanza mazingira, cha pili lazima nipaki pembeni nishangae kidogo.. maana mie uzuri wangu huwa sisafiri na mtu.. na enjoy sana nikiwemo mwenye kwenye gari na nikuwa huru sana
Tatizo nakimbia sana, usiku siwezi kuona umbali mrefu. Naogopa vicheche nisije kukutana nacho kwenye Kona au Mlima nikiwa 170! Nishapiga trip za usiku ila inachosha. Unapishana na gari then huoni kwa sekunde kadhaa ni hatari.Sema hupendi safari za usiku, hii barabara usiku kuanzia dumila unaweza tafuta kisaani cha ziada.. dumila hadi gairo kuna kipindi nilikuwa na machine moja ilikuwa 240.. nilikuwa natembelea 150, 180, 200.. ngoma ilikuwa inajishindilia chini baraa alafu hata uoni kama inatembea.. ila kilicho kuja nishangaa dodoma nimeingia saa sita usiku, huku nilitoka dumila sikosei kitu kama saa nne 😃😃😃.. nimeamka na miamba iliyokesha diamond club ya mwanza 😀😀😀
Mie nimezoe, watu hadi wananitaniaga kama gari ya dawa, nadra kunikuta na mtu kwenye gari..Duh km 500+ peke yangu sijui kama nitaweza
Kuna sehemu Moro Dom nasikia barabara haijatuliaHaka ka kipande ka morogoro.. kutokea dumila hadi gairo huwa kanajuta. Kunifahamu.. 😀😀😀 alafu baada ya hapo kutokea kibaigwa huwa panasoma namba.. hiyo to night.. mwanza huwa naamka nao 😃😃😃😃😃...