Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Barabara inajengwa porini halafu out of nowhere unakuta kamji kamezuka hapo katikati.
Nadhani iwekwe sheria ya kusogeza vijiji mbali na hizi highway.
Kuweka matuta ni ushamba mkubwa sana.
Ni kweli kabisa Vimiji na Vijiji vingewekwa mbali kabisa na Barabara kuu, maana vimezidi, kuna sehemu kati ya Magubike na mteremko wa Dumila kuna 50 ya wauaza mkaa, pia nimeikuta kati ya mizani ya Mikese na Mdaula na Traffic na tochi zao wapo nikawagawia buku 5 ya rangi, eti wananiambia kuna kambi ya watu wa mkaa.
yaani 50 zinapunguza safari kabisa, umbali wa masaa 4 kwa kilomita 450 unamaliza masaa 10 na hiyo ni Dar mpaka Dodoma
Matuta na vibao vya 50 vipunguzwe kwani wataalamu wameipa gari speed mpaka 180
 
😁 😁 😁 😁 It's very strange kwa kweli.Kama safari yangu natarajia kuendesha hata 20km to drink alcohol na kurudi nategemea itakuwa usiku kidogo,huwa na avoid kuendesha gari peke yangu kuepuka usingizi pengine wa ghafla au mengineyo.Story zinaepusha mengi,Ingawa still naamini tumeumbwa tofauti na kila mtu ana style yake ya kuji manage.
 
Boeing 747 twende kwa kina Bonge 😀💃
Snapchat-1301496959_1611044642195.jpg
 
😁 😁 😁 😁 It's very strange kwa kweli.Kama safari yangu natarajia kuendesha hata 20km to drink alcohol na kurudi nategemea itakuwa usiku kidogo,huwa na avoid kuendesha gari peke yangu kuepuka usingizi pengine wa ghafla au mengineyo.Story zinaepusha mengi,Ingawa still naamini tumeumbwa tofauti na kila mtu ana style yake ya kuji manage.
Abiria anasaidia sana,safari inakuwa fupi. Akiwa dereva ndio raha anakuwa navigator wako. Kuna bend fulani yeye ndio anaona mbali wewe huoni hapo anakwambia pita. Kingine hata ukijisahau moto ukiwa mkali anakwambia punguza kidogo.
 
Exactly.Abiria na yeye anakuwa na interest ya kuona mnaendelea kuishi na kufika mkiwa salama hvyo hatokubali muangamie.
 
Usinziagi?
Hapana sizinziagi hata kidogo.. na kwa kuchukua taadhari huwa napiga Espresso ile strong , napiga redbull kavu kavu na ingine na changanya kwenye maji ya lita 1.5 hata mawili au matatu.. hapo hakuna usingizi hata kiduchu unao jipendeza na huwa nazima kabisa mziki kwenye gari ili niwe na focus ya hali ya juu.. na mwiko kufungua dirisha sijui kupugwa upepo
 
Kutumia viongeza energy safarini siyo advisable kabisa.Ina weza kukuweka kwenye risk ya deadly accidents and then you are gone.
 
Hapana sizinziagi hata kidogo.. na kwa kuchukua taadhari huwa napiga Espresso ile strong , napiga redbull kavu kavu na ingine na changanya kwenye maji ya lita 1.5 hata mawili au matatu.. hapo hakuna usingizi hata kiduchu unao jipendeza na huwa nazima kabisa mziki kwenye gari ili niwe na focus ya hali ya juu.. na mwiko kufungua dirisha sijui kupugwa upepo
Lone wolf....Mimi sasa muziki siwezi kuzima kwasababu najua ikipita tracks 20 nishapiga umbali mrefu sana!
 
Back
Top Bottom