Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Ni kweli kabisa Vimiji na Vijiji vingewekwa mbali kabisa na Barabara kuu, maana vimezidi, kuna sehemu kati ya Magubike na mteremko wa Dumila kuna 50 ya wauaza mkaa, pia nimeikuta kati ya mizani ya Mikese na Mdaula na Traffic na tochi zao wapo nikawagawia buku 5 ya rangi, eti wananiambia kuna kambi ya watu wa mkaa.Barabara inajengwa porini halafu out of nowhere unakuta kamji kamezuka hapo katikati.
Nadhani iwekwe sheria ya kusogeza vijiji mbali na hizi highway.
Kuweka matuta ni ushamba mkubwa sana.
yaani 50 zinapunguza safari kabisa, umbali wa masaa 4 kwa kilomita 450 unamaliza masaa 10 na hiyo ni Dar mpaka Dodoma
Matuta na vibao vya 50 vipunguzwe kwani wataalamu wameipa gari speed mpaka 180