Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Sometimes God is super busy.Huwa naamini Mungu ananilinda tu. Na sio umakini au lolote. Mungu huniepusha
He can't pay attention all the time.
Don't be that reckless.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes God is super busy.Huwa naamini Mungu ananilinda tu. Na sio umakini au lolote. Mungu huniepusha
Aisee....eti wanatafuta nini! Kule ndio wamepata maeneo huku chini kote kuna wenyeweAiseee kule Usangi kuna siku tulikuwa tunasafiri usiku tukawa tunaona kwa mbali mataa yanawaka kwenye ile milima mirefu juu kabisa tukabaki tu kushangaa inakuwaje watu wanajenga juu kote kule wanatafuta nini
Kuonekana warefu 😁 😁 😁 😁Aisee....eti wanatafuta nini! Kule ndio wamepata maeneo huku chini kote kuna wenyewe
😋😋😋😋😋Hahah it depends utakuwa upo na nani, kama ni sweetie kwanini uogope? Kama ni abiria shusha kwanza vioo then jiachie kimya kimya ama ukihisi ni gesi nyingi unasimamisha unaomba udhuru wa kuchimba dawa.
Mimi sioni raha katika kusafiri mwenyewe, labda ndani ndio napendaaa sana kuwa mwenyewe sbb zipendi kuvaa vaa manguo.
Kuna sehemu inaitwa Suji napo kuna wapare milimani wilaya ya Same ni balaa kuliko huko Usangi wenyewe wanapanda hadi Kwa miguu bila shida.Wapare waheshimiwe.
Leo nimefika Usangi juu kabisa kuna kijiji kinaitwa Kilimanjaro.
Nimeondoka saa 12 asubuhi. Sahivi saa 1 jioni ndo narudi arusha.
Nimetumia nusu tank.
Nimejifunza mengi sana. Wapare wanajua kuishi aisee.
Sijawahi kuona watu wanaishi milimani to that extreme. Sijui wakilewa wanarudije kwao.
Kwa mbali ni ziwa Jipe mpakani na Kenya.View attachment 1681381View attachment 1681382
Tusipangiene basi ... 😀😀😀😀Sometimes God is super busy.
He can't pay attention all the time.
Don't be that reckless.
Unalamba lamba nini na wewe? Kuhani mzima 😂😂😋😋😋😋😋
Acha wewe....vibe gani peke yako?! Vibe mko na SUV watu sita, wanaume watatu,wanawake watatu! Au familia uko na wife na kids😀😀😀😀😀 kuna vibe la safari ya peke yako kwenye gari.. hasa kwa siw wengine popote kambi... umeisha elewa 😀😀😀
Kigoma hii😅Wazee wa kugonga shimo.......location wapi hii?
Nawaza wale waanzilishi waliwezaje kujenga kule juu?Aiseee kule Usangi kuna siku tulikuwa tunasafiri usiku tukawa tunaona kwa mbali mataa yanawaka kwenye ile milima mirefu juu kabisa tukabaki tu kushangaa inakuwaje watu wanajenga juu kote kule wanatafuta nini
Wenyewe wanakwambia wanazoea hiyo milima.Kuna sehemu inaitwa Suji napo kuna wapare milimani wilaya ya Same ni balaa kuliko huko Usangi wenyewe wanapanda hadi Kwa miguu bila shida.
Umepita pale mtera kwa mbele au?Leo nimepiga kona kama 100 hivi.
Dah kama unayafahamu maeneo uliopasua hilo tairi nielekeze maana mm nmepita mwaka jana mwezi wa 7Mkuu hii barabara ya iringa dodoma iliniharibia tairi.
Labla kama wameitengeneza, maana ilikua ni mazoezi ya kukwepa mashimo
Hahaha inawezekana kweli mkuuAisee....eti wanatafuta nini! Kule ndio wamepata maeneo huku chini kote kuna wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuonekana warefu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Namaanisha zile kona za kwenda Upareni.Umepita pale mtera kwa mbele au?