Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hio lazima watu wakimbizane tu 😁 kunakuwaga na vyuma vya kwenda katika league ile.Ligi ingine inakuja uelekeo wa Kili marathon
Mambo ya kujiamini wepesi wa chombo na kudharau malori mabaya sana, kuna siku hii January jamaa mmoja na IST hiki kipande cha kuitafuta Ubena ukitokea Mikese palikua pamenyooka fresh kuna mabus mawili mbele yao kuna lori akaanza kuyakata akiwa katikati ya lile lori la mwisho ili arudi sasa kukawa na lori linakuja mbele yake af Bus na lory yamefuatana very close alijikuta anajibanza tu in between kusubiria kudra hakua na ujanja. Luckily pembeni kulikua na nafasi kidogo lile lori linalokuja alifaya fair akatoa nje kidogo na kutembea maana angekua muhuni angeweza kwepesha horse akamwachia kichanja kimkateBarabarani kuna watu wana roho mbaya sana, mwingine anakuletea kabisa moto, hajui mtu una wahi wapi.. nakumbuka ile picha hadi leo ilibaki mita chache viumane.. cha kushukuru gari ilikuwa na nguvu nilipeleka mguu paka kwisho ilitoka kama ndege nikashangaa nimetoka mdomoni mwa ziraeli
Mwenye IST anapata wapi ujasiri wa kufanya haya yote gari ndogo ile sana.Mambo ya kujiamini wepesi wa chombo na kudharau malori mabaya sana, kuna siku hii January jamaa mmoja na IST hiki kipande cha kuitafuta Ubena ukitokea Mikese palikua pamenyooka fresh kuna mabus mawili mbele yao kuna lori akaanza kuyakata akiwa katikati ya lile lori la mwisho ili arudi sasa kukawa na lori linakuja mbele yake af Bus na lory yamefuatana very close alijikuta anajibanza tu in between kusubiria kudra hakua na ujanja. Luckily pembeni kulikua na nafasi kidogo lile lori linalokuja alifaya fair akatoa nje kidogo na kutembea maana angekua muhuni angeweza kwepesha horse akamwachia kichanja kimkate
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ndio mda wa kujizolea vibasi vya beach Kidimbwi vile😂Vijana bangi na pombe nyingi sana
Ubaya mmoja madereva wa IST hawajui kama gari zao hazina nguvu. Nguvu nu muhimu sana kwenye kuovateki. Wao wanatoka tu wakati kwa gari kama ist inabidi uhakikishe hamna gari kabisa ndio upite hata lori. Sasa unakuta mtu na ist anang,ang,aniza kuipita Prado.Mambo ya kujiamini wepesi wa chombo na kudharau malori mabaya sana, kuna siku hii January jamaa mmoja na IST hiki kipande cha kuitafuta Ubena ukitokea Mikese palikua pamenyooka fresh kuna mabus mawili mbele yao kuna lori akaanza kuyakata akiwa katikati ya lile lori la mwisho ili arudi sasa kukawa na lori linakuja mbele yake af Bus na lory yamefuatana very close alijikuta anajibanza tu in between kusubiria kudra hakua na ujanja. Luckily pembeni kulikua na nafasi kidogo lile lori linalokuja alifaya fair akatoa nje kidogo na kutembea maana angekua muhuni angeweza kwepesha horse akamwachia kichanja kimkate
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Umakini mdogo tu na kuhisi kuweza kulaza hadi 150Kph ndio kwaweza kumpa dereva jeuri ya kutoka na kurudi popote. Wachache wanajua moto wa hizi heavy duties haswa zikiwa tupu, daah kama una kibaby walker na huna uhakika usibahatishe kumkata aisee, zinamwaga moto hatariiiMwenye IST anapata wapi ujuzi wa kufanya haya yote gari ndogo ile sana.
Hizo ndio kamari zenyewe ambazo naziongelea imagine lingekuwa eneo ambalo pembeni kuna kingo za daraja au korongo lazma wangempa kitu 😂😂😂Mambo ya kujiamini wepesi wa chombo na kudharau malori mabaya sana, kuna siku hii January jamaa mmoja na IST hiki kipande cha kuitafuta Ubena ukitokea Mikese palikua pamenyooka fresh kuna mabus mawili mbele yao kuna lori akaanza kuyakata akiwa katikati ya lile lori la mwisho ili arudi sasa kukawa na lori linakuja mbele yake af Bus na lory yamefuatana very close alijikuta anajibanza tu in between kusubiria kudra hakua na ujanja. Luckily pembeni kulikua na nafasi kidogo lile lori linalokuja alifaya fair akatoa nje kidogo na kutembea maana angekua muhuni angeweza kwepesha horse akamwachia kichanja kimkate
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hahahahah wanapambana nao, hivi IST ina horsepower kiasi gani ile? Mtu anapambana kukiminya kigari kikimbie chuma haisogei 😁😁😁Ubaya mmoja madereva wa IST hawajui kama gari zao hazina nguvu. Nguvu nu muhimu sana kwenye kuovateki. Wao wanatoka tu wakati kwa gari kama ist inabidi uhakikishe hamna gari kabisa ndio upite hata lori. Sasa unakuta mtu na ist anang,ang,aniza kuipita Prado.
Kwa IST ni kujiweka hatarini. Sio gari salama kabisaUmakini mdogo tu na kuhisi kuweza kulaza hadi 150Kph ndio kwaweza kumpa dereva jeuri ya kutoka na kurudi popote. Wachache wanajua moto wa hizi heavy duties haswa zikiwa tupu, daah kama una kibaby walker na huna uhakika usibahatishe kumkata aisee, zinamwaga moto hatariii
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Nikisimama hovyo nakata stimu, confidence inashuka sana na mood ya safari inapotea.On safety point of view ni vyema kusimama walau baada ya Kms 200 ama 4Hrs drive for body stretching na kukagua chombo hapa na pale, b4 kulisongesha. Normalize hiyo tabia Mzee [emoji4][emoji4]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Sijawahi tumia hii button ya O/D.Hahahah mie huwa nachezaga na O/D button nikizima na kuwasha naikata lorry kama mshale! Chombo inapepea mpaka unaskia burudani [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko mtarudi na corona ya kutosha.Ligi ingine inakuja uelekeo wa Kili marathon
Hahah if you need power unakanyagia tu no need to fiddle with buttonsSijawahi tumia hii button ya O/D.
Maana inachanganya. Sijui ikiwaka na ikizima inakuwaje.
Nishawahi kumsaidia dada mmoja kuendesha from Moro to Dar though alinipakia kama abiria...Kwa IST ni kujiweka hatarini. Sio gari salama kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ushazoea kuburuza na chuma gani mbali ya bike yako matata ile.Nishawahi kumsaidia dada mmoja kuendesha from Moro to Dar though alinipakia kama abiria...
Kuovertake kwenye IST is a very stressful experience. Yani unabinya chuma haitii. Afu unaona taa zile mtu kaiva anakuja.
L
Daaah huu ukauzu sio wa nchi safari kama mnaenda kukomboa mateka bana, laza mshale but at same time road trip gotta be adventurous aisee. Some snacks kidogo, drinks kimtindo kwa asiyeendesha hata gambe freshi tu safarini humo. Bobu dere maji muhimu, short call break ni healthy for both of u dere na abiria wakoNikisimama hovyo nakata stimu, confidence inashuka sana na mood ya safari inapotea.
Huwa natumia km 50 za mwanzo wa safari kujenga confidence.
Nikiwa natoka mwenge kwa mfano, mpaka nafika tegeta kuna makosa ya kizembe sana huwa nafanya. Na huwa naendesha kwa stress sana.
Ila kuanzia bunju, akili yangu inakaa sawa. Confidence inaongezeka. Toka hapo, namwaga moto mpaka mwisho wa safari.
Kuna siku nilisafiri na mdogo wangu, akafika maeneo ya same akataka kuchimba dawa, nikamwabia utachimba destination. Aliniona kauzu sana ila ndo hivyo. Inabidi azoee.