Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Unakata kama engine kubwa, huwa mala nyingi sana nazipanga gari alafu nazifuta hatari, ila ndio ujue unatembelea 160 + wengine wajinga wakikuona nao wanavuta ili ukakutane na moto mbele yako.. kuna siku alimanusa uso kwa uso na Fuso.. ndio siku niliyojikubali kuwa naweza muendesha hata Rais 😀😀😀Labda uwe barabara nyoofu sana. Kukata Semi 3 tu ni ishu! Lazma gari ikukute