Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Safari ya Dar-Moro ukianza saa 2 kamili asubuhi Morogoro utafika saa 7 mchana.
Ila safari hio hio ukiianza saa 12 jioni unaweza fika morogoro saa 2 jioni!

Kuna tatizo kubwa la kucheleweshana kwenye safari za mchana bila sababu ndio maana tuna opt kutembea usiku.
Imagine unatoka dar saa 1 Asubuhi unafika Moro saa 6. Inakeraaa mno
 
Very true. Safari hii unaianza saa 11 asubuhi au mapema zaidi. Ikifika saa moja ushaiacha Dar na foleni zake.
Walau ukitoka saa 11 Alfajiri mchawi ni malori yanayokuja mjini na yanayoondoka so kuna vidakika vya hapa na pale vya maudhi b4 kuyapangua ambayo pia usharp wako ndio utakufanya upunguze muda wa safari. After Chalinze kidogo panatembeleka

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndipo anapojifichia mjerumani[emoji23][emoji23][emoji23] na kuondosha speed limit sababu ana autobhan! Kwake ujerumani ana barabara za ku support 300KPH+ ndio maana anafyatua gari zenye speedometer kubwa kuliko japan [emoji16]!

Ila bila turbocharging anaachwa uchi mapema tu na mjapani [emoji23]! Huwezi compare natural aspirated vs turbocharged engines.
Hivi Yaris GR ni Natural Aspirated?
 
Personally nimeobserve hii maneno last week usiku, J5 kuamkia Alhamisi si tukiwa na Subaru Forester XT 2.0 kuna mwamba alikua na Ipsum 2.4Ltr. Tuliburuzana buruzana nae hiki kipande cha kuanzia Sangasanga kuitafuta Doma alipoamua kufanya kazi sasa na kwenda zake daah alipepea mnooo hatukumuona tena, mbali na 'jiko' la chombo 'wehu' flani hivi wa dereva nao una nafasi kubwa kwenye matokeo. Dere wa Toyota Ipsum T...DFG salute kama upo humu nilikubali show yako
Udereva na ujasiri unachangia mno.
 
Muda ambao njia nyeupe sio mida yenu ambako magari yamejazana barabarani! Chalinze moro hizo dakika hazifiki nikikalia mashine bila wasiwasi wa gauge kuisha.
Kanuni yako umesema u neva go beyond 130Kph, umbali tunaousema hapa ni almost 200Kms wachilia mbali condition ya barabara (mabonde mabonde) yale, kuna vimji ya hapa na pale Maili 1, Picha ya Ndege, Kongowe, Mkuza, Mlandizi, Chalinze ndio unapumzikia kwenye 80 huko mbele kina Mdaula sijui Msoga n.k unapita na 100 fresh tu kupozea kwenye matuta tu lakini bado less than 2 Hrs ni almost impossible. Mchawi ni condition ya barabara. Kutoka Moro - Dom ama Iringa kwa umbali huo huo ni stori nyingine kabisa
 
Kweli inaweza fika 2hrs lakini maana yale mawimbi kabla ya Chalinze ni balaa
 
Kweli inaweza fika 2hrs lakini maana yale mawimbi kabla ya Chalinze ni balaa
Aaah yale noma sana aisee, kutembea kwenye zone yako tu noma bado malori nayo yametunguliwa huko af yanakupiga taa kutoka nje ni kama unajipiga mtama kitu kama gema yani, overtaking ya kuchomolea hapa kwa hapa huwezi lazima ujipe nafasi kubwa upande 'tuta' moja moja kuhama lane ufanye overtaking kisha urudi kwa kuyapanda tena matuta daah, panachosha mnooo

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hilo dude liko stable sana katika speeds zote naona, Fuga!
Harrier inahamaga ukikunja kona kali kidogo tu inabiringika
kuna siku natoka mbeya naenda Arusha kupitia dodoma nipo na RX300 ubaoni inasoma 220kph, naanza kuiacha makambako akaja jamaa na crown na fujo za kutosha akijua hii harrier... nilichaomfanyia alinikuta mafinga pale ikabidi na yeye asimame anipe hi na kuuliza mawili matatu kuhusu hii machine maana alielewa show... kama una roho nyepesi hata uwe v8 nakubuluza tu maana sehemu ilinyooka kupiga 180+kph kwangu ni jambo la kawaida....
 
Back
Top Bottom