Mkorintho
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 594
- 1,141
He he he kumaliza sahani sikushauri, lakini average ya 150 - 160Kph sio mbaya, vipo vipande vinaruhusu kabisa. Mafinga Makambako kuna vpande vimenyooka safi na wala hakuna matuta, Makambako - Igawa pia kuna vipande vimekaa safi na hata rasta zake sio za kukera unafukia na kutembea vizuri kabisa. Bado hapa Msolwa - Ubena - Mikese kuna vipande vinanoga sana kuuweka mguu kulia humoHahahah ipo siku nitajitoa ufahamu 😂😂😂 nitest kumaliza 180KPH maana limiter imewekwa kwenye 190KPH.
Shida ile speedometer yake ni ya digital