Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine unatoka dar saa 1 Asubuhi unafika Moro saa 6. Inakeraaa mnoSafari ya Dar-Moro ukianza saa 2 kamili asubuhi Morogoro utafika saa 7 mchana.
Ila safari hio hio ukiianza saa 12 jioni unaweza fika morogoro saa 2 jioni!
Kuna tatizo kubwa la kucheleweshana kwenye safari za mchana bila sababu ndio maana tuna opt kutembea usiku.
Inaacha kuingiza mafuta kwenye cylinder... kama hukutegemea lazima ushtukeNilishtuka nikadhani nimeblow engine kumbe nimefika kwenye limiter coz gari ilikata response ya accelerator
Hizo ndio kero sizitakagi hapo ushaombwa leseni mara 3 na hela ya kubrashia umewapa wale mabwege😌!Imagine unatoka dar saa 1 Asubuhi unafika Moro saa 6. Inakeraaa mno
Walau ukitoka saa 11 Alfajiri mchawi ni malori yanayokuja mjini na yanayoondoka so kuna vidakika vya hapa na pale vya maudhi b4 kuyapangua ambayo pia usharp wako ndio utakufanya upunguze muda wa safari. After Chalinze kidogo panatembelekaVery true. Safari hii unaianza saa 11 asubuhi au mapema zaidi. Ikifika saa moja ushaiacha Dar na foleni zake.
Kwahio kibati hakishuki chini tena au husiki Rev kabisa.Fuga inaacha tu kuaccelerate ila inatulia kwenye 190 fresh tu na wala abiria anaweza asijue akaendelea kupiga stori jinsi ilivyotulia
Ukikanyagia engine haiongezi revsKwahio kibati hakishuki chini tena au husiki Rev kabisa.
Hivi Yaris GR ni Natural Aspirated?Hapo ndipo anapojifichia mjerumani[emoji23][emoji23][emoji23] na kuondosha speed limit sababu ana autobhan! Kwake ujerumani ana barabara za ku support 300KPH+ ndio maana anafyatua gari zenye speedometer kubwa kuliko japan [emoji16]!
Ila bila turbocharging anaachwa uchi mapema tu na mjapani [emoji23]! Huwezi compare natural aspirated vs turbocharged engines.
Udereva na ujasiri unachangia mno.Personally nimeobserve hii maneno last week usiku, J5 kuamkia Alhamisi si tukiwa na Subaru Forester XT 2.0 kuna mwamba alikua na Ipsum 2.4Ltr. Tuliburuzana buruzana nae hiki kipande cha kuanzia Sangasanga kuitafuta Doma alipoamua kufanya kazi sasa na kwenda zake daah alipepea mnooo hatukumuona tena, mbali na 'jiko' la chombo 'wehu' flani hivi wa dereva nao una nafasi kubwa kwenye matokeo. Dere wa Toyota Ipsum T...DFG salute kama upo humu nilikubali show yako
Yaris ni supercharged 1.6L chombo ina piston 3 tu! Ila ni balaa...Hii engine sio Natural Aspirated!Hivi Yaris GR ni Natural Aspirated?
Kamanga to Sengerema, sidhani. Mwaka jana nimeitumia sana hiyo barabara.. ni fupi ila shughuli yake ni pevu..Barabara ya Kamwanga Feri hadi Sengerema wameshaweka Lami?
Nahisi labda ana maanisha Kamanga - Sengerema, ile njia ni fupi sana kufika sengerema na mwanza, ila ni mbaya sana. Busisi - Sengerema huwa ni mkeka tuKamwanga feri ndio kigongo-busisi? Kama ndio hiyo ni lami full mpaka sengerema and beyond. Lami nzuri sana.
Niliwasikia watu pale feri leo wanaiongelea hiyo kwamba kuna njia fupi ila rough road. So lami bado.Nahisi labda ana maanisha Kamanga - Sengerema, ile njia ni fupi sana kufika sengerema na mwanza, ila ni mbaya sana. Busisi - Sengerema huwa ni mkeka tu
Ww Mzee dk 75 Mbezi - Moro that's unrealistic Bro, unless u meant Chalinze - Moro nakubali.Dakika 75 hivi mida ambayo wachawi hamna. Njia tamu sana ukishavuka bwawani pale.
Muda ambao njia nyeupe sio mida yenu ambako magari yamejazana barabarani! Chalinze moro hizo dakika hazifiki nikikalia mashine bila wasiwasi wa gauge kuisha.Ww Mzee dk 75 Mbezi - Moro that's unrealistic Bro, unless u meant Chalinze - Moro nakubali.
Hahaha kweli central maana centero ungekuwa kwenye mbavu za mbwa umezungukwa na mitutu😁Hahaha nilikuwa napelekwa central! Mkanda ilikuwa lazima nifunge kusudi nisije nikapata sababu!
Kanuni yako umesema u neva go beyond 130Kph, umbali tunaousema hapa ni almost 200Kms wachilia mbali condition ya barabara (mabonde mabonde) yale, kuna vimji ya hapa na pale Maili 1, Picha ya Ndege, Kongowe, Mkuza, Mlandizi, Chalinze ndio unapumzikia kwenye 80 huko mbele kina Mdaula sijui Msoga n.k unapita na 100 fresh tu kupozea kwenye matuta tu lakini bado less than 2 Hrs ni almost impossible. Mchawi ni condition ya barabara. Kutoka Moro - Dom ama Iringa kwa umbali huo huo ni stori nyingine kabisaMuda ambao njia nyeupe sio mida yenu ambako magari yamejazana barabarani! Chalinze moro hizo dakika hazifiki nikikalia mashine bila wasiwasi wa gauge kuisha.
Kweli inaweza fika 2hrs lakini maana yale mawimbi kabla ya Chalinze ni balaaKanuni yako umesema u neva go beyond 130Kph, umbali tunaousema hapa ni almost 200Kms wachilia mbali condition ya barabara (mabonde mabonde) yale, kuna vimji ya hapa na pale Maili 1, Picha ya Ndege, Kongowe, Mkuza, Mlandizi, Chalinze ndio unapumzikia kwenye 80 huko mbele kina Mdaula sijui Msoga n.k unapita na 100 fresh tu kupozea kwenye matuta tu lakini bado less than 2 Hrs ni almost impossible. Mchawi ni condition ya barabara. Kutoka Moro - Dom ama Iringa kwa umbali huo huo ni stori nyingine kabisa
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Aaah yale noma sana aisee, kutembea kwenye zone yako tu noma bado malori nayo yametunguliwa huko af yanakupiga taa kutoka nje ni kama unajipiga mtama kitu kama gema yani, overtaking ya kuchomolea hapa kwa hapa huwezi lazima ujipe nafasi kubwa upande 'tuta' moja moja kuhama lane ufanye overtaking kisha urudi kwa kuyapanda tena matuta daah, panachosha mnoooKweli inaweza fika 2hrs lakini maana yale mawimbi kabla ya Chalinze ni balaa
kuna siku natoka mbeya naenda Arusha kupitia dodoma nipo na RX300 ubaoni inasoma 220kph, naanza kuiacha makambako akaja jamaa na crown na fujo za kutosha akijua hii harrier... nilichaomfanyia alinikuta mafinga pale ikabidi na yeye asimame anipe hi na kuuliza mawili matatu kuhusu hii machine maana alielewa show... kama una roho nyepesi hata uwe v8 nakubuluza tu maana sehemu ilinyooka kupiga 180+kph kwangu ni jambo la kawaida....Hilo dude liko stable sana katika speeds zote naona, Fuga!
Harrier inahamaga ukikunja kona kali kidogo tu inabiringika