Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tip zao ile hela wanayopiga! Nitaanza kutoa tip

Yeah hata mia 5 kwao ni nauli tosha.

Ila mie sitatoa, si unajua hela ya mwanamke ilivyo chungu kutoka 😜😜

Ila huwa nawapigisha story ile ya kumtoa mawazo kama yuko kazini, asiwaze amesimama siku nzima labda kapata short au mwenzie anayetakiwa kumpokea shift kachelewa n.k.

Moja ya story naanzaga nazo ni, naweza kuwekewa mafuta ya buku huku nikionesha taswira ya wasiwasi na kushangaa...!

Wengi hucheka kisha nataja idadi ya lita nnazotaka basi maisha yanaenda.

Mmoja wakati anajaza nikamwambia, shoga hivi kama nimesahau pesa kwenye pochi nyumbani nilitoka haraka nanishaniwekea mafuta inakuwaje....

Basi akimaliza kunijibu hapo namwambia asante kwa huduma namtakia shift njema, akirudi nyumbani awakumbatie watu wake wa karibu kwa upendo. Namuacha na tabasamu halafu mie yuleee naendelea na safari yangu 😊.
 
Hapo ndo huwa nakupenda Taibali.

Tupige trip ambayo sio ya kuchosha (isiwe ndefu sana) ili tufurahie mazingira pia. Tukirudi tuna kandana (massage) kuondoa uchovu wa mikono, mabega na shingo.

Kama daraja/barabara ya Saadani Pangani imekamilika, tupange kwenda Tanga ila tunapita Saadani Parks kisha tunatokea geti la kuelekea Pangani hapo tunaenda Tanga tunaambaa na upepo wa bahari kisha tunarudi via wami msata kisha kiotani 😜.

Just the two of us 😉.

View attachment 1718216

Snacks ntakuwa nazo za aina zote 😋😋.
Daraja bado....Twende mlimani
 
Au Kilwa Masoko

Yeah natumai itakuwa trip nzuri.

C1ECEFFE-A80B-41BE-A137-C6D607AD343C.png

Halafu sio parefu sana.

Ngoja niangalie swimming costume zangu zina hali gani tayari kupunga upepo wa baharini.
 
Kuna E class zenye hadi 600 hp.

Mfuko wako tu.
600 HP barabarani si hakuna atae kufatia mkuu.. na hawa vijana wenye BMW X1, X3 watakuwa wanaisoma namba na E zilicho chini yake.. pia nimeziona E 63s AMG .. huu ni moto haswa ndio una iyo 600 HP.. ila shekeli ndio mtihani. Kame hela mboba unachukua hata E 450 au yale V12 Biturbo
 
Yeah hata mia 5 kwao ni nauli tosha.

Ila mie sitatoa, si unajua hela ya mwanamke ilivyo chungu kutoka [emoji12][emoji12]

Ila huwa nawapigisha story ile ya kumtoa mawazo kama yuko kazini, asiwaze amesimama siku nzima labda kapata short au mwenzie anayetakiwa kumpokea shift kachelewa n.k.

Moja ya story naanzaga nazo ni, naweza kuwekewa mafuta ya buku huku nikionesha taswira ya wasiwasi na kushangaa...!

Wengi hucheka kisha nataja idadi ya lita nnazotaka basi maisha yanaenda.

Mmoja wakati anajaza nikamwambia, shoga hivi kama nimesahau pesa kwenye pochi nyumbani nilitoka haraka nanishaniwekea mafuta inakuwaje....

Basi akimaliza kunijibu hapo namwambia asante kwa huduma namtakia shift njema, akirudi nyumbani awakumbatie watu wake wa karibu kwa upendo. Namuacha na tabasamu halafu mie yuleee naendelea na safari yangu [emoji4].
Hii ni njema, yawafanya wajione nao ni wenye kujaliwa na wenye maisha nje ya kuwa 'pump attendants' [emoji4][emoji4]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
It is also one of those less visited beaches kama huko Kilwa tu. Lakini ni kati ya fukwe nzuri sana mbele bahari halafu nyuma kijani kibichi kimetawala.

Ila nafikiri ndiyo kama hivyo alivyosema mkuu hapo juu kuwa kama taifa kwenye eneo hilo hatujafanikiwa sana. Nadhani hatujajitangaza ile vya kutosha.

Au pengine labda watu wanapenda zile beaches ambazo ziko mjini zilizochangamka kama Dar au Tanga. Mbele bahari halafu nyuma mji mkubwa na makazi ya watu.

Lakini sehemu kama Bagamoyo, Mtwara, Pangani na Lindi kuna fukwe nzuri sana. Hiyo Msimbati unaweza hata kugoogle uone mandhari yake.
Hata Zenji wenyewe, beach za Jambiani, Nungwi, Paje, Michamvi n.k ni mbali na mji wala si town lakini Hotels zipo na kunahappen. Kama Zenji haswa Nungwi wana monthly events za full moon party na nyingine zifananazo na hizo na watu wanafunga safari kutoka kote duniani kwenda kuhave fun, lwa nini isiwe upande huu wa nchi pia. Yaweza kuwa sera za uwekezaji ni kikwazo, lakini utalii wa fukwe ni kitu ambacho kingetubeba sana. Mauritius, Sychelles na Re-Union nafikiri wanabebwa zaidi na fukwe kiuchumi kuliko vinginevyo, yatupasa kufanya jambo

Yeah kule visiwani wako serious sana na fukwe zao sijui tu kwanini huku bara fukwe za mijini tu ndiyo zimeendelea zaidi. Uzuri wengine hatuchaguagi fukwe ili mradi kuna bahari au ziwa na hotel au lodge karibu basi fresh tu.
 
Back
Top Bottom