Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa IST hapo haizidi Lita 80 kadirio la juu sana.
Kwa hesabu hii heri akadirie 2200 × 80 = 176,000 for fuel. Hayo matumizi mengine ni juu yake kujikadiria, chakula, malazi, dharura na starehe nyinginezo. Raha ya road trip ni kujiachia pia, sio safari kimkanda mkanda kama mafunzo ya kijeshi bana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha hivi huko Kilombero njia ikoje?! Usije kuwa njia ya vumbi km20 unaenda dakika 40!
 
Bahati yako mkuu, juzi natoka Moro kuna mbwa alitaka atuue maeneo ya Mlandizi. Nilikuwa kwenye Mazda hatchback flani ya 2009 ya jamaa anatembea japo kwa kuvizia vizia. Tuko mahali pamenyooka tumelikata Truck mbele kuna RunX imekaza jamaa akaikazia mguu nayo. Kama sekunde 15 tushaimaliza RunX tunarudi site mita 10 mbele kuna shoga ghafla kaitoa Scania ya mafuta sheli anaitaftia kona kaambaa barabara nzima kaacha kama nafasi ya mita moja toka ukingoni.

Kilichotokea mzee baba acha tu, jamaa ilibidi akaze roho. Akaitolea pembeni nako kulikuwa na ngema ikaparuza uvungu kisha akairudisha juu maana kulikuwa na tofali la zege linafata. Ndio pona yetu angekuwa muoga angeipiga Scania ubavuni.

Tukakubaliana aache fujo, kituo kinachofata tunakuta kuna jamaa kala buyu. Noah mayai kaipiga fuso vizuri tu mpaka katatua Airbag, Fuso imedondoka miguu juu kichwa chini kwenye korongo.
Case kama hii imenitokea jana Mandela Road.

Nimeshakolea kikaingia kirikuu barabarani bila kuangalia upande wangu.
 
Nataka kuchua E - Class, na hasa nimevutiwa na E 350, ingawa pia mlinipa ushauri wa W212.. mnaweza nisaidia kunipa ufanisi wa W212 zaidi ya hii E 350. Ingawa mie ni mpenzi zaidi wa Sedan, hata ukiniweka hapo SUV na Sedan, nachukua sedan ( nimeona niweke wazi interest zangu kabisa ).

Naombeni mawazo yenu ya ziada wakuu
RRONDO Bavaria Torque vs HP
 
W212 ni series ambayo ina E350 pia. Ila chukua E250 inatosha labda kama wewe ni mpenzi wa engine kubwa.
E class tuanzie W210 hii ndio maarufu walikuwa wanaita macho ya panzi ni ya 1997-01. Then ikaja W211 hii ilikaa sana hadi 2009 kuanzia hapo ikaja W212 ambayo 2013 ikafanyiwa face lift Matata...
 
Asante nimeelewa maana ya W212. Nilikuwa naangalia kule beforward zikawa zanichanganya tu. E 350 nimezipendea ukubwa wa engine yake, naamini na performance ni kubwa hasa kwa tunao penda ligi barabarani mala moja moja tuwapo safarini
 
Back
Top Bottom