Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Binafsi huwa naamini source ya power kwenye gari huwa generated na engine kupitia mafuta.A/C inapowaka inafanya alternator kufanya kazi,na alternator source yake ya power ni engine,na engine hupata hiyo power kwa kuchoma extra fuel.
Based on researches
-Kuna certain speed wakati unaendesha,gari linakuwa more fuel efficient with A/C on kuliko gari lililofunguliwa vioo at that speed.
*Binafsi nilicho notice kwenye gari, ni kwamba nikiwasha headlights especially full lights mngurumo wa engine hubadilika hasa gari ikiwa kwenye silencer,hii ni indication kwamba load kwenye engine imeongezeka kwa kiasi fulani,And this increased engine load inakuwa compesated na kuongezeka kwa uchomaji kidogo wa mafuta-ingawa naamini ni kwa kiwango kidogo mnoo.
Hata usipowasha AC alternator inazunguka. Rpm ikizidi moja hakuna mzigo hapo mzigo unakuwepo gari ikiwa idle ndio maana hata engine revs up. Ukiona unawasha taa gari inabadilika ujue una issue kwenye charging system.
 
Shukurani boss,
mimi ningedakwa maana huwa hiyo barabara naibamiza sana.
Ila siku hizi naona watu wengi wanaendesha 40/50 kwenye hiyo barabara sijui wameshalizwa !!!????
Wamelizwa tayari, mie mwenyewe nimerudi kwa adabu, maana huwa natembea pale hadi 140 😀😀😀.. ila nimerudi na 30 kama zilivyo kwenye vibao vyao
 
Hata usipowasha AC alternator inazunguka. Rpm ikizidi moja hakuna mzigo hapo mzigo unakuwepo gari ikiwa idle ndio maana hata engine revs up. Ukiona unawasha taa gari inabadilika ujue una issue kwenye charging system.
"However, it is commonly known that using air conditioning can increase fuel consumption. How much is fuel consumption affected when you use a car’s air conditioning?
Air conditioning can add up to 10 percent to fuel consumption and is especially apparent at lower speeds"
“If you’re really hung up on fuel economy then around town at low speed, driving with the windows open is an option instead of using the air con – but at higher speeds this will cause so much additional drag that closing the windows and using the air con will be the cheaper option.”
 
“Above 55mph, it’s better to run the air con as opposed to the extra drag caused by open windows.

“It adds car accessories will drain your battery so you should try and limit this to save power for when it’s needed.”
 
Hata usipowasha AC alternator inazunguka. Rpm ikizidi moja hakuna mzigo hapo mzigo unakuwepo gari ikiwa idle ndio maana hata engine revs up. Ukiona unawasha taa gari inabadilika ujue una issue kwenye charging system.
"
Every time you activate the AC it draws power from the engine, which sounds reasonable enough until you consider everything else that is doing the same thing – from the alternator and various pumps, belts and mechanisms to the power steering and a plethora of other accessories, necessities and luxuries.

With so much so reliant on the engine, every competing demand cannot help but have some effect on vehicle performance.

For instance, with the AC on you might notice the car’s RPMs increase during idling."
 
Kimara-mbezi-kibaha

On point.....

8CF16D8C-AFDD-430C-BE1F-86C40844A3DA.jpeg

Safely back 😊

Usiku mnene 😉.
 
Pole sana, yani jana na leo imeshaongezeka 6000 kwenye full tank yako.
Mimi sipendi, barabara zetu vumbi vingi, na likishazoea ndani kulitoa ni majanga

Huwa napenda sana ile harufu ya up ya way gari....

Sitakagi iishe, sasa gari ikijaa vumbi ndani huwezi pata harufu ya upya wa gari.

Pia huwa napenda sana harufu ya hela mpya 😅.
 
“Above 55mph, it’s better to run the air con as opposed to the extra drag caused by open windows.

“It adds car accessories will drain your battery so you should try and limit this to save power for when it’s needed.”
Haya ma article yote nishayasoma ages ago. Summary yake ni hio mistari miwili hapo. Gari inatumia mafuta zaidi ukiwasha AC ikiwa imesimama ila ikiwa inatembea ni afadhali uwashe AC kuliko kuzima na kufungua madirisha. The rest ni theories za car mechanics
 
Back
Top Bottom