Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekula kwako!
Pole sana
🤨🤨🤨 CC 2500 zitaanza kuuzwa kama njugu, watu warudi zao kwenye IST na VITZ..Mda c mrefu itagonga 2500 tupo uchumi wa kati yani.
Watu wanasema AC inamaliza mafuta, ingawa sionagintofauti sana, nahisi na akili zimeisha kaliliBado unaamini kufungua vioo unaokoa mafuta?
Huachagi tipu tipu.. ndio maanaYaaanii....!!!
Nimesikitika sana, halafu mie ni mteja wao mzuri sana huwa naenda sheli ile ile.... 😕.
Pole sana, yani jana na leo imeshaongezeka 6000 kwenye full tank yako.Sipendi kutembea vioo wazi....
Nilishajaribu huko nyuma na nilihakiki ni kweli kwa road trip nayotembea maana foleni ni nyingi.Bado unaamini kufungua vioo unaokoa mafuta?
AC inamaliza mafuta kama gari imesimama. Gari ikisimama hata mlio utasikia unaongezeka ili kusukuma compressor (rpm inapanda juu ya normal idle). Ila gari ikitembea inatumia mzunguko wa kawaida wa engine na in fact kufungua vioo wakati gari inaenda unatumia mafuta zaidi kwasababu ya drag inayosababishwa na upepo.Watu wanasema AC inamaliza mafuta, ingawa sionagintofauti sana, nahisi na akili zimeisha kalili
Wapo watu wanao endeshwa na matukio. Uzuri bei za mafuta huwa sio za kudumuNever.... changamoto ni sehemu ya maisha. Mbona miaka ya nyuma petrol ilifika zaidi ya 2000 na magari hayo yalikuwepo?
Ukitoka Kimara kuelekea Ubungo (Korogwe, Rombo) ama kuelekea Mbezi (Stop Over, Suca) ?Kimara mwisho kwa chini kidogo kuna TOCHI wamenibamiza pale.. ka mkeka ka kisela dah 🥲.. muwe makini wazee wa kukanyaga speed juu
Binafsi huwa naamini source ya power kwenye gari huwa generated na engine kupitia mafuta.A/C inapowaka inafanya alternator kufanya kazi,na alternator source yake ya power ni engine,na engine hupata hiyo power kwa kuchoma extra fuel.AC inamaliza mafuta kama gari imesimama. Gari ikisimama hata mlio utasikia unaongezeka ili kusukuma compressor (rpm inapanda juu ya normal idle). Ila gari ikitembea inatumia mzunguko wa kawaida wa engine na in fact kufungua vioo wakati gari inaenda unatumia mafuta zaidi kwasababu ya drag inayosababishwa na upepo.
Kuelekea mbeziUkitoka Kimara kuelekea Ubungo (Korogwe, Rombo) ama kuelekea Mbezi (Stop Over, Suca) ?
Nimecheka sana hii clip jamaa wamenyooshwa kinomaUsianzishe ugomvi bila kujua nguvu ya mpinzani
Shukurani boss,Kuelekea mbezi