miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Extro mbona kasema tena kuna ajali. Huyu msuya yeye mbona siyo ajali? Ama alipata ajali kabla?Si ndiyo huyo Msuya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Extro mbona kasema tena kuna ajali. Huyu msuya yeye mbona siyo ajali? Ama alipata ajali kabla?Si ndiyo huyo Msuya
Noah?Kitonga hioView attachment 1764755
Halafu eti siku zote huwa nafikiri ninyi mwafahamiana nje ya jf! Nimeona tu kimya sana ikabidi nimuulizie humu!
Hamna sijapata taarifa zozote yaani na wewe ndiyo umenishitua saa hizi na hizo taarifa! Uwiiii na mie ndiyo nimezidi kuogopa!
Msuya alikua amelala tu usiku akamwambia natasha anajisikia vibaya hivi moyo unaenda mbio sana nipeleke hospitali. Natasha ndo alikua anaamka wampeleke ghafla msuya akanyooka hapohapo maskini. Huo ukunga uliopigwa hapo achaaa..
Yes, natasha na mumewe were very good friends. Mimi kiatu chake hata sikitaki.
Katika mawazo yangu yote najuaga rrondo ni muhaya ndo maana akasema last Christmas anaenda kulia kaskazini as of hakua mwenyeji. And i thought u are dearly friends maskini. Ni kitu gani kimewafanya muwalink na huo msiba?
Haya maaee casie matata[emoji120]Well Msuya simfahamu, namuombea apumzike kwa amani.
Pia Mungu amfanyie wepesi Natasha akipokee kikombe alichonyweshwa, si rahisi Ila kwa msaada wa Mungu ataweza.
Kuhusu RRONDO siwezi sema lolote hapa kwamba tafahamiana ama laah.
Akili tuu iliwaza Barasa ya kuona quote ya Karma, jinsi alivyomuulizia double R aka baba Bataringaya na kuangalia last seen ni ijumaa asubuhi..... nikajiwa na hofu...
Nothing more, ni fikra tuu ndo nikjikuta naunga link ya Msuya na Baba Bataringaya kutokuonekana.
Kwani SUV ni harrier na prado pekee?Mkuu kama naona wivu kula S curves za hiyo barabara ukiwa 160 na Harrier au Prado ulete mrejesho.
Kuna sehemu sedans rule na nyingine SUVs rule. Iko hivyo. Ndio maisha.
Worst case scenarioKwani SUV ni harrier na prado pekee?
Unakariri maisha kijana.
Yeah kikubwa ajitokeze tufahamu tu kama yuko salama! Ni wengi sana wamepotea jf kwa sasa ila huwa tunawakumbuka na kuwaulizia wale ambao tunawakubali au wale ambao tumezoea sana kuona michango yao humu!Acha ibaki hivyo hivyo anonymous kuwa tunajuana nje ya JF wakati habari zetu hatufahamiani.....
Nashindwa kukiri hapa, najali sana maisha binafsi (faragha) ya mtu.
Ila bado nasihi sana atokee hapa aseme yuko salama.
Mungu amlinde huko aliko, [emoji120].
Yeah lets Hope soBasi tuvute subira, yumkini ametingwa atatokea hapa akipata mwanya.
Wanakusalimia piaWasalimie akina chinga [emoji16][emoji16]
Shaka ondoa, hata ID ya Watu8 ishawahi zushiwa kifo na uzi juu...kisa tu haikuwepo hewani kwa miakaWe unafanya masihara, nahisi Karma anahofia RRONDO yuko salama?
Hajaonekana tangu ijumaa saa tatu asubuhi....
Nami nimeanza pata hofu, ni Baba Bataringaya huyu aiseeh....
[emoji4]
Jamani Karma na wale crushes wengine, marafiki wa dhati, washikaji na wapendwa wote wa RRONDO; kwa heshima na taadhima ameniomba niwaambie kuwa yeye yupo salama salmini, hana tatizo lolote kabisa. Isipokuwa tu atakuwa nje ya Jf for a month ila atarudi. Ameshukuru pia kwa upendo wenu[emoji120][emoji120][emoji120]
Hehehe hayaaAnasemaga ni msukuma
Hahaha mbona crushes dada. Naona unatuchomesha.Jamani Karma na wale crushes wengine, marafiki wa dhati, washikaji na wapendwa wote wa RRONDO; kwa heshima na taadhima ameniomba niwaambie kuwa yeye yupo salama salmini, hana tatizo lolote kabisa. Isipokuwa tu atakuwa nje ya Jf for a month ila atarudi. Ameshukuru pia kwa upendo wenu[emoji120][emoji120][emoji120]
Hahaha mbona crushes dada. Naona unatuchomesha.
Daah afadhali kama yuko salama jamani. Hilo ndio la muhimu.