Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mweeh basi hii itabidi niitegee DFP ambapo mie ni abiria siti ya mbele au niwe na partner ili in case of uncertainties tuweze kushikana mikono kuondoa hofu.

Alfajiri yangu huwa ni saa 10 maana yake hadi nuru itawale saa 12 nakuwa nshasogea mbali kidogo.

Ila nikiwa na DFP hata tukiondoka saa mbili asubuhi sina wasi.

Asante kwa tahadhari.
Saa 10 si haba mpaka kunakucha shud all be well on yo side ushaipangua Kondoa pengine (around 150 Kms hivi) Njiani kuna road blocks kadhaa zenye geti kabisa, jiandae kisaikolojia [emoji4][emoji4] Hawana masumbufu yoyote tho

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kwa tahadhari.

Ntazingatia na kupanga namna ya kukatiza Dom Babati.
 
Mimi nasafiri sana Kwa leisure na ndio maana natembelea sana North Tanga,Moshi, Arusha. Nikibadili Mtwara,Lindi na Morogoro
Kwa mwendo huo sio rahisi umalize yote.

Watu wa mambo ya miradi ni rahisi kumaliza nchi nzima au madereva wa serikali.

Kuna dereva mmoja alikuwa POPC enzi za JK kabla haijavunjwa. Yule jamaa amefika kila kata nchi nzima. Anajua barabara zote nchi nzima na vichochoro vyake.

Anajua guest/lodge za kila aina kila mkoa, kila wilaya na ikiwezekana kila kata (kama ipo).

Nilifanya nae kazi kama mwezi hivi, kila siku anakupa story mpya za mambo ya barabarani. Nilijifunza mengi sana kwa yule mzee.

99% ya muda wake wa kazi alikuwa barabarani.

Sahivi ameshastaafu. Ila jamaa ni legend.

NB:

Halafu madereva wa aina hii wanafahamiana na watu wengi sana. Tukiwa tunaenda mkoa fulani, yeye anapiga simu moja kwa moja kwa mkurugenzi hata kama hatujafika, hakukuwa na haja ya bureaucracy za kiserikali. Mnaweza fanya kazi bila kupata vibali wilayani au mkoani. Mkurugenzi mnakutana nae jioni bar mnatia story. Siku ya kuondoka ndo mnapita kuacha barua ya ukumbusho.

Hakuna mkoa au wilaya tuliofika asiwe na mtu wa kupush issue yeyote ile.
 
Kwa ujumla kuendesha gari dogo mazingira ya Tz ni shida...vile basi uchumi ndiyo unaruhusu tukae humo..
Ni mapenzi tu. Kama ingekuwa shida hivyo zipo gari za juu bei ya kawaida tu from 15-30m sio issue. Hazipishani na sedan tunazoendesha. Labda kama unazungumzia LC200,RR na jamaa zake. Ila hizi Dualis,RAV4,Harrier,Murano,Xtrail sio issue.
Mimi binafsi sedan ndio choice ya kwanza kwasababu napenda mwendo ambao ni salama zaidi kwenye sedan.
 
Weeeh sijawahi pita hiyo, nimetamaniii kama vile kesho nikiwashee...😋😋😋😋

Huwa nawaza na kujiuliza, ukiacha ajali barabarani hivi ndo nimekanyaga pedeli sawa sawa nimetoka Dom alfajiri naisaka Babati kupitia Kondoa. Nahisi njiani kina mapori kadhaa..... sijui kama hiyo njia inapita magari mengi....

Itakuwaje nikipata breakdown, ambazo huwa zinatokea hata kama gari iko sawa kila kitu service tairi bin vipuri.
Ila unashangaa chombo kimezima moto haupiti halafu ni saa kumi jioni...

Keeuwiiiii ntapiga uyoweeeee.... hapo ndo napataga woga wa safari ndefu.

Hizo zote nilizopiga nilikuwa nazunguka na mikonga ya DFP.
Nakumbuka safari moja tumetoka Ifakara tunawahi Msamvu kuna mtu anaenda Dom kutoka Dar tuchukue mzigo....

Hifadhi ya Mikumi suka alikuwa anaachia gia tochi zote alikuwa anaziwashia full anapita. Tulikuja kusimamishwa karibu njia panda ya kwenda Mzumbe. Suka akawaonesha kitambulisho tukauwahi mzigo Msamvu.

I love road trips 🥰.
Nyie DFP huwa mnanikera kujiona mnamiliki njia! Full uvunjaji sheria, huwa wakiniletea ujinga nakaza wanakuwa wapole.
 
Saa 10 si haba mpaka kunakucha shud all be well on yo side ushaipangua Kondoa pengine (around 150 Kms hivi) Njiani kuna road blocks kadhaa zenye geti kabisa, jiandae kisaikolojia [emoji4][emoji4] Hawana masumbufu yoyote tho

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Road blocks za usiku hazina shida kabisa.

Nikianza ku approach nawasha interior lights mapema wanajua mzoefu huyu. Most times since nakuwa mwenyewe wanaachaga nitembee. Few times wanasimamisha na kukagua bima / uhamiaji. 1 minute maximum safari inaendelea. Only once njia ya Arusha walikagua mpaka buti na vyote vilivyomo.
 
Kwa mwendo huo sio rahisi umalize yote.

Watu wa mambo ya miradi ni rahisi kumaliza nchi nzima au madereva wa serikali.

Kuna dereva mmoja alikuwa POPC enzi za JK kabla haijavunjwa. Yule jamaa amefika kila kata nchi nzima. Anajua barabara zote nchi nzima na vichochoro vyake.

Anajua guest/lodge za kila aina kila mkoa, kila wilaya na ikiwezekana kila kata (kama ipo).

Nilifanya nae kazi kama mwezi hivi, kila siku anakupa story mpya za mambo ya barabarani. Nilijifunza mengi sana kwa yule mzee.

99% ya muda wake wa kazi alikuwa barabarani.

Sahivi ameshastaafu. Ila jamaa ni legend.

NB:

Halafu madereva wa aina hii wanafahamiana na watu wengi sana. Tukiwa tunaenda mkoa fulani, yeye anapiga simu moja kwa moja kwa mkurugenzi hata kama hatujafika, hakukuwa na haja ya bureaucracy za kiserikali. Mnaweza fanya kazi bila kupata vibali wilayani au mkoani. Mkurugenzi mnakutana nae jioni bar mnatia story. Siku ya kuondoka ndo mnapita kuacha barua ya ukumbusho.

Hakuna mkoa au wilaya tuliofika asiwe na mtu wa kupush issue yeyote ile.
True legend
 
Ni mapenzi tu. Kama ingekuwa shida hivyo zipo gari za juu bei ya kawaida tu from 15-30m sio issue. Hazipishani na sedan tunazoendesha. Labda kama unazungumzia LC200,RR na jamaa zake. Ila hizi Dualis,RAV4,Harrier,Murano,Xtrail sio issue.
Mimi binafsi sedan ndio choice ya kwanza kwasababu napenda mwendo ambao ni salama zaidi kwenye sedan.
Ongezea pia sedan ya 20M na crossover SUV ya 20M, bila shaka sedan itakuwa more luxurious
 
Road blocks za usiku hazina shida kabisa.

Nikianza ku approach nawasha interior lights mapema wanajua mzoefu huyu. Most times since nakuwa mwenyewe wanaachaga nitembee. Few times wanasimamisha na kukagua bima / uhamiaji. 1 minute maximum safari inaendelea. Only once njia ya Arusha walikagua mpaka buti na vyote vilivyomo.
Hii njia ni road blocks za full time, tena ni zile za hadi akufungulie ndio upite sio zile za kupoza kuchora S na kupita juu kwa juu. Zipo kama 2 hivi au 3

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ni mapenzi tu. Kama ingekuwa shida hivyo zipo gari za juu bei ya kawaida tu from 15-30m sio issue. Hazipishani na sedan tunazoendesha. Labda kama unazungumzia LC200,RR na jamaa zake. Ila hizi Dualis,RAV4,Harrier,Murano,Xtrail sio issue.
Mimi binafsi sedan ndio choice ya kwanza kwasababu napenda mwendo ambao ni salama zaidi kwenye sedan.
Ni kweli mkuu, ila kuna baadhi ya watu wanafanya kazi mazingira magumu, unakuta uchumi hauruhusu hata kukaa kwenye Rav 4, Xtrail and the likes....kwa sababu ya gharama za maintenance na mafuta...basi unakuta mtu kajichimbia ndani ya vitz old model ya kumvua mtu au passo piston 3 ya kumvua mtu..

Binafsi pia napemda sedan zenye mwendo na choices zangu ni Fuga na Crown, Brevis kwa mbali..
 
😀 😀 😀😀 duh eti kajichimbia....mkuu huendi mbinguni!
 
Back
Top Bottom