Mkorintho
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 594
- 1,141
[emoji848]Kuna jamaa alishaweka ya 4hrs, Jamatini Dom - Ubungo mataa. VXR V8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848]Kuna jamaa alishaweka ya 4hrs, Jamatini Dom - Ubungo mataa. VXR V8
kimasehesabu inawezekana kabisa.. mie mwenye ningeenda chini hapo kuna kipande niliona wakuda wanapeana ishara, nikapunguza mwendo maeneo ya mlandizi, trafic saa nane za usiku 😂😂😂.. ila bila hao nililuwa naingia dom town kwa masaa manne au kasoro.. mwendo wangu ulikuwa 160, 140 nimepungua 120 na ilikuwa natembea nacho mda mrefu.. nilipofika Kongwa sahani ikajaaaa hadi chamwino 😀😀😳😳Mnataka kuweka rekodi?
Forester old model cc 2000.Hii ndio zile XT cc2500?
Kuna vipande unafidia kabisa kuyapata masaa manneKuna jamaa alishaweka ya 4hrs, Jamatini Dom - Ubungo mataa. VXR V8
barabarani acha tu.. kuna raha yake[emoji848]
Trip tamu sana hii.. 😎Wazee wa Road trip Jpili nina safari ya Geita Tanga via Busisi, na Babati kituo cha kwanza na ndipo nitakapolala Asubuhi naliamsha paka Tanga kwa Babu Chumbageni kwa kutumia Mnyama wa kijerumani X3
Ukiwa na max ya 180kph sehemu zingine unaona gari haiendiKuna vipande unafidia kabisa kuyapata masaa manne
180kph ni speed ndogo sana..Ukiwa na max ya 180kph sehemu zingine unaona gari haiendi
Advantage ipo kwa wenye over 180kph na zero to 100kph iwe within 9 sec
Wewe mzoefu....njia unaijua nje ndanikimasehesabu inawezekana kabisa.. mie mwenye ningeenda chini hapo kuna kipande niliona wakuda wanapeana ishara, nikapunguza mwendo maeneo ya mlandizi, trafic saa nane za usiku 😂😂😂.. ila bila hao nililuwa naingia dom town kwa masaa manne au kasoro.. mwendo wangu ulikuwa 160, 140 nimepungua 120 na ilikuwa natembea nacho mda mrefu.. nilipofika Kongwa sahani ikajaaaa hadi chamwino 😀😀
Ongeza nyama kidogo!VXR V8 is bad news!
😀😀😀😀😀Aiseeee! Mashine inaitika hadi unapiga ukunga!
Wasafirisha magazeti hutumia Noah old model au ? Ulishawahi fanya league nao?Ukiwa unauelekeo wa Dar-Arusha mshtue Hornet
Hao wasafirisha magazeti hutumia Noah old model au ? Hua wanakwenda Arusha na kurudi next day au?Nilishawai ipamia noah na pick up mlangoni ikawa km imegongwa na tren[emoji23][emoji23][emoji23] nikiifikiria ile body afu vjn wa kusafirisha gazet wanavopepea na hizo noah cna ham nao[emoji119]
Wanatumia new modelWasafirisha magazeti hutumia Noah old model au ? Ulishawahi fanya league nao?
Ni 2.5l Mkuu2.5i au 3.0i?